nye mmeshazoe kukalili hadi mitihad ticha akibadilisha mfumo wa swali chakaSource yako???
makes the two of usMacho yako yana matege
Ila angeanza kutoa nyimbo chriss brown alafu alafu diamond angefanya hovyo povu lingewatoka wabongo maana mnavyojua kukosea vyenu hatariHahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga
Diamond kashika mbwa kwenye kochi povu liliwatoka amekopy video ya nje ya tyga au yeye hajui tumia googleWatanzania kwa ujinga duh, kwa style hii mtabaki kila siku kulalamika maisha magumu, hili nalo mnaliweka kwenye discussions.
Kuweka piano kwenye mandhari tofauti nayo ni idea mpya? Zipo video zaidi ya 100 zenye setting hiyohiyo, hili nalo hamuwezi kulifikiria? Kuna websites za kujifunza mambo ya maana online, em kapunguzeni ujinga.
Diamond kashika mbwa kwenye kochi povu liliwatoka amekopy video ya nje ya tyga au yeye hajui tumia google
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga