Ni kweli Chriss Brown amecopy kwa Diamond Platnumz? Wabongo wabishana mtandaoni

Ni kweli Chriss Brown amecopy kwa Diamond Platnumz? Wabongo wabishana mtandaoni

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya Chriss Brown kupost picha ya video yake mpya imezua mjadala mtandaoni hasa kwa wabongo huku wengine wakidai amecopy idea na location kama kwenye nyimbo ya Diamond na AKA make me sing uliotoka mwezi wa pili mwaka huu, huku mashabiki wengine wakimtetea kwa kusema atakuwa hajaona video ya wimbo huo wa Diamond.

Kumekuwa na kasumba ya watanzania kukosoa wasanii wa bongo hasa video zao zinapokuwa na mfanano wa idea na za nje.
Mfano video ya kidogo ya Diamond mashabiki wabongo wamekuwa wakisema amekopy Marekani.

Je ni kweli chriss brown amecopy idea au imetokea tu bahati mbaya?
Nini mtazamo wako..

1471864114635.jpg
 
Ngoja waje wale wanaougua ugonjwa wa DIAMONDPHOBIA (ugonjwa unaotokana na kumchukia DIAMOND bila sababu) wakiona mada kama hizi ndio kidogo wanapata nafuu kwa kupunguza malazi yao.
 
hahahahaha kwel kacopy asee xma kajtahd kubadili poz badala ya kusima kakaa af demu ndo kasimama kama platinum,duh kumbe braza diamond run dis world
 
Hahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga
 
Watanzania kwa ujinga duh, kwa style hii mtabaki kila siku kulalamika maisha magumu, hili nalo mnaliweka kwenye discussions.

Kuweka piano kwenye mandhari tofauti nayo ni idea mpya? Zipo video zaidi ya 100 zenye setting hiyohiyo, hili nalo hamuwezi kulifikiria? Kuna websites za kujifunza mambo ya maana online, em kapunguzeni ujinga.
 
Ila angeanza kutoa nyimbo chriss brown alafu alafu diamond angefanya hovyo povu lingewatoka wabongo maana mnavyojua kukosea vyenu hatari
Humu tungeona thread kibao diamond kaishiwa ubunifu mwisho wake umefika ili
Kwasababu ni chriss brown mmetulia
 
Watanzania kwa ujinga duh, kwa style hii mtabaki kila siku kulalamika maisha magumu, hili nalo mnaliweka kwenye discussions.

Kuweka piano kwenye mandhari tofauti nayo ni idea mpya? Zipo video zaidi ya 100 zenye setting hiyohiyo, hili nalo hamuwezi kulifikiria? Kuna websites za kujifunza mambo ya maana online, em kapunguzeni ujinga.
Diamond kashika mbwa kwenye kochi povu liliwatoka amekopy video ya nje ya tyga au yeye hajui tumia google
 
Diamond kashika mbwa kwenye kochi povu liliwatoka amekopy video ya nje ya tyga au yeye hajui tumia google

Sina muda kudiscuss wasanii unless ingekua inanilipa, for that reason nina-logout, wewe usiye na kazi endelea kudiscuss nani kacopy na nani hajacopy, wao wanatengeneza mamilioni we unatumia vocha kuingia JF kuwadiscuss na video zao unaangalia.
 
Hahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom