brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Baada ya Chriss Brown kupost picha ya video yake mpya imezua mjadala mtandaoni hasa kwa wabongo huku wengine wakidai amecopy idea na location kama kwenye nyimbo ya Diamond na AKA make me sing uliotoka mwezi wa pili mwaka huu, huku mashabiki wengine wakimtetea kwa kusema atakuwa hajaona video ya wimbo huo wa Diamond.
Kumekuwa na kasumba ya watanzania kukosoa wasanii wa bongo hasa video zao zinapokuwa na mfanano wa idea na za nje.
Mfano video ya kidogo ya Diamond mashabiki wabongo wamekuwa wakisema amekopy Marekani.
Je ni kweli chriss brown amecopy idea au imetokea tu bahati mbaya?
Nini mtazamo wako..