Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Mwanaume mzuri kuliko wote ni nabii yusuph.
Mwanamke mzuri kuliko wote ni mjukuu wake nabii yusuph.jina lake rahma kama ntakuwa sijakosea.
 
mjingamimi mkuu yaweza kuwa,ila mimi nimeelezea katika mlengo wa kibiblia,kama hautojali ebu zilete picha tupate kujifunza zaidi!
 
Childhood diplomacy hongera mpendwa,ila Cleopatra alikuwa mzuri kwa kuwa na mvuto mzuri wa kimapenzi,japo alikuwa na roho mbaya iliyojaa ulafi wa madaraka,tamaa na uaji!
 
Kuna series moja inaitwa ROME. imedepict kila kitu kwa details. Kama unapenda history za hawa jamaa, unaweza kuitafuta extratorrent.ag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…