Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Hawezi kumfikia mama watoto wangu hata akipita porini wanyama wa mwitu hujitokeza kumwangalia na kumshangilia mpaka miti inashangilia mola alivyomjalia
Hahahahaha hongera kwa kuwa na kifaa hicho.
 
Historia inasema alikufa kwa kuumwa na nyoka cobra (alimuweka nyoka kwa makusudi siyo bahati mbaya)
anaagiza sumu ndogo ya nyoka, asp, ambayo inaingizwa kwa siri kupitia kwenye kikapu chake anachotumia kuletewa matunda.
 
Yap. Ungepata picha Irene anaangalia straight to the camera..
1461502569799.jpg

Yah mfanano upo
 
anaagiza sumu ndogo ya nyoka, asp, ambayo inaingizwa kwa siri kupitia kwenye kikapu chake anachotumia kuletewa matunda.

Unaagiza vipi sumu ndogo ya nyoka Ushimen, na hasa ukizingatia kipindi kile hakukuwa na utaalamu wa kuhifadhi sumu hiyo? Nadhani hapo kidogo kuna kutoelewana, labda kutokana na tafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili. Ilivyoandikwa hata kwenye maigizo ya Cleopatra ni kuwa alipelekewa cobra (ambaye ndiye aliyekuwa official royal snake anaevaliwa hata kwenye mataji ya malkia) kwenye kikapu na ndiye aliyemtumia kwa kuumwa na huyo nyoka na kufa.
 
Mkuu....
Hebu rudi ukasome pale nilipo weka fully story aiseeee....
Hicho kijipande nilikiweka ili niweze kwenda sana na mkuu alie tangulia
 
Unaagiza vipi sumu ndogo ya nyoka Ushimen, na hasa ukizingatia kipindi kile hakukuwa na utaalamu wa kuhifadhi sumu hiyo? Nadhani hapo kidogo kuna kutoelewana, labda kutokana na tafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili. Ilivyoandikwa hata kwenye maigizo ya Cleopatra ni kuwa alipelekewa cobra (ambaye ndiye aliyekuwa official royal snake anaevaliwa hata kwenye mataji ya malkia) kwenye kikapu na ndiye aliyemtumia kwa kuumwa na huyo nyoka na kufa.
Basi sawa mkuu
 
Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Mi naona ni hadithi za kufikirika tu na upambaji wa kifasihi.yawezekana alikuwa mzuri sana kwa hizo zama zake alizokuwamo lakini kusema kuwa hatakuja kutokea mzuri kama yeye ni uongo uliopitiliza.Sifa kubwa aliyokuwa nayo huyo bishosti ni uwezo mkubwa wa seduction.alikuwa na uwezo mkubwa wa kucheza na saikolojia ya wanaume na kuwafanya wapagawe naye kupita maelezo.
 
Mkuu,
Ebu pitia na hapo chini ili tufanye ulinganifu wa hicho unacho kiita (unadhani wakati huo hapakua na utaalamu wa kiweza kuhifadhi sumu), au kukosea kutafsiri na kwakua eti umekua ukiona sinema.
Hapo watafiti wanasema wazi kwamba hapakua na alama yeyote ya uwepo wa nyoka aina ya Kobra katika mazingira yale alipo kufia Cleopatra. Pia hakua na alama yeyote ya kuumwa na nyoka mwilini, ingawa alikutwa na sumu mwilini inayo sadikiwa kupelekea kifo chake
Unaagiza vipi sumu ndogo ya nyoka Ushimen, na hasa ukizingatia kipindi kile hakukuwa na utaalamu wa kuhifadhi sumu hiyo? Nadhani hapo kidogo kuna kutoelewana, labda kutokana na tafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili. Ilivyoandikwa hata kwenye maigizo ya Cleopatra ni kuwa alipelekewa cobra (ambaye ndiye aliyekuwa official royal snake anaevaliwa hata kwenye mataji ya malkia) kwenye kikapu na ndiye aliyemtumia kwa kuumwa na huyo nyoka na kufa.
The story of Cleopatra’s death, as handed down to us by her conqueror, is that she killed herself by means of a poisonous snake. According to Suetonius, the stunned Octavian summoned snake charming Psylli to suck the poison from puncture wounds found on her arm. Later, she was depicted in a wax effigy during Octavian’s triumph with an asp clutched to her breast and contemporary poets like Virgil also alluded to the snake as the instrument of her death.

It could be that they were all wrong. As Plutarch eventually admits, no one knows the truth of how Cleopatra died. Strabo may have actually been in in Alexandria at the time of her death, and he suggests that she may have put poison at the end of a needle. But none of the ancients seem to have favored the idea that she gulped down a poisonous mixture in the form of a drink, so modern claims that there was no cobra and that she drank a poison concoction must be eyed with at least a little healthy skepticism.

It’s become fashionable to challenge the manner in which Cleopatra died and also to suggest that she may have been murdered or forced to suicide. It’s even theorized that Octavian sent Dolabella to the queen with an elaborate story about how she’d be dragged through the streets of Rome for the express purpose of convincing her that killing herself was the only way to preserve her dignity.

Adherents to these theories point out that Octavian was a master propagandist who wanted to be rid of the queen and was willing to lie about how she died so as to ensure that he’d be held blameless. However, it seems that historians ought to base their conclusions upon more than a belief that Octavian was a liar.

It may well be true that a living Cleopatra was an enormous inconvenience to Octavian. He was undoubtedly better off with her dead than alive. However, it’s equally true that there isn’t a single ancient source that accuses Octavian of having killed the queen or having encouraged her to kill herself. In fact, Plutarch tells us that Cleopatra was researching painless forms of suicide long before Octavian stepped foot in Alexandria and his information may have come from Cleopatra’s only living daughter, through Juba II. Moreover, we’re presented by an undisputed claim that when Cleopatra was first captured, she was already trying to kill herself with a knife. Even after she was disarmed by Gaius Proculeius, the queen thereupon stopped eating and allowed herself to succumb to illness until Octavian threatened her children. All of this happened before the much ballyhooed talk with Dolabella, and establishes a pattern of suicidal behavior.

Finally, there is the matter of Octavian trying to revive her. Certainly, Octavian was not above play-acting, but this would seem to fit the pattern of historical sources that tell us the queen’s death came as a surprise to him.

Like Plutarch, I’ll admit that no one knows the truth of how Cleopatra died. But the preponderance of the evidence still seems to be that she took her fate into her hands and ended her own life…quite possibly with the help of a venomous snake. And for purposes of a historical novelist, suicide by snake was good enough for Margaret George, so it’s good enough for me!
 
Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Movie na stori nyingi za vijiweni mara nyingi hupotosha ukweli. Cleopatra hakua mzuri na wala hakusifika kwa uzuri. Bari alisifika kwa kua na akili na ivyo kumfanya aweze kua na uwezo wa kuwapata wanaume wenye nguvu za kimadaraka kama Julius Caesar na Marc Anthony. Ambao wote walikua wamemzidi umri kwa kiasi kikubwa tu. Alichohitaji yeye kilikua ni kuimarisha nguvu ya utawala wake kwenye kiti cha umalkia uko Egypt.

Kwa ufahamu zaidi, nenda YouTube katafute documentary series yenye vipande nane inayoitwa," ANCIENT BEHAVING BADLY", utamjua Cleopatra na wengineo kama Caligula, Attila the hun, Alexandra the great nk.

Fatilia documentaries na vitabu ujue ukweli wa mambo
 
Julius Cesar aliyekua mtawala wa Roman Empire alikwisha kabisa kwa Cleopatra ukumbuke Roman Empire ilitawala dunia kabla ya Uingereza. Cleopatra alikua na asili ya Afrika.
Sio kweli Cleopatra ni mgiriki, ni wale wagiriki wa kwanza kutawala egpty and she ruled egpty enzi hizo lkn hana asili ya africa
 
Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
She was not that beautiful, tale zinasema mzuri bcz she was able to lure the king of roman empire, aand it was the strong empire at that time. And wanted to over thrown him ili a rule roman empire
So she was not thaaaat pretty ,alikua wakawaida
 
Inasadikika kuwa huyu ndiyo mwanamke mzuri kuliko wote katika historia ya dunia.

Ametajwa katika vitabu kadhaa ikiwemo Biblia na aliishi kwa miaka 39.

Cleopatra alikuwa ndiyo mtawala wa mwisho wa Kigiriki kutawala Misri na ndiyo aliyekuwa Farao
wa Kwanza wa kike mgeni.

Alizaliwa mwaka 69 na akiwa na miaka 18 akatawazwa kuwa Malkia.

Cleopatra ni neno la Kigiriki linalomanisha "baba yangu ni maarufu"
Cleopatra ni jina walilolopewa
mabinti kifalme wa kigiriki huku wale wa kiume wa kifalme
waliitwa Ptolemy.

Ptolemy alikuwa ni mmoja wa wale majenerali wanne wa
Alexander Mkuu,ndiyo hawa waliougawa ufalme wa Alexander katika falme nne!

Ptolemy ndiye aliyeanzisha utawala wa Kigiriki Misri na mji
wa Alexandria ndiyo ukawa makao makuu ya ufalme wake.

Hivyo Cleopatra huyu
tunayemzungumzia hapa
alikuwa ni Cleopatra wa Saba na wa mwisho.
Dola la Misri lilitawaliwa na Ugiriki tangu mwaka 323 baada ya Alexander Mkuu kuishinda Misri na utawala huu uliisha
mwaka 30 baada ya Cleopatra kujiua kwa kumruhusu nyoka
aina ya Cobra kumgonga kifuani.

Cleopatra alikuwa na mahusiano na wanaume wengi ila wale maarufu walikuwa ni Julius Caesar na Mark Anthony huyu
Caesar ndiye ambaye walizaa naye mtoto mmoja wa kiume.

Baada ya kifo cha Julius Caesar mwaka 44 mapenzi yakahamia
kwa Mark Anthony mnamo mwaka 42
Ili kuweza kutawala pekee yake Cleopatra alifanikiwa kuwaua wadogo zake wote,na
pia aliutumia uzuri wake kupata ulinzi wa kijeshi kutoka majemedari mashukhuri wa kipindi hicho!

Mathalani,kuna kipindi akiwa binti mbichi wa miaka 21 aliwaagiza watumishi wake wamviringishe kwenye zuria zuri na kulibeba kama zawadi na
kulipeleka kwa Julius Caesar!

Julius Caesar alipolifunua
akakutana na Cleopatra na hapo hapo akamfanya Cleopatra mchepuko wake.

Mark Anthony na Cleopatra walijiua baada ya kushindwa kwenye vita ya Actium na Octavian!

Huyu Octavian ndiye mtawala alietoa
amri ya Wayuhudi wote kwenda walikozaliwa wahesbiwe Sensa!

TUNAJIFUNZA NINI?

Uzuri,pesa,mali,na madaraka yatarahisisha maisha yetu ya duniani,ila hayotukufikisha mbinguni.

Ni kumtegemea Mungu tu ndiyo kutatufikisha mbinguni!

REFERRENCES:

1 Makabayo 10:57-58
Daniel 11:12
Luka 2:1-7
Antiquities of Jews by Josephus
Cleopatra and Anthony by
Shakespeare

ANGALIZO:
Miaka yote ni Kabla ya Kristo.
 
Back
Top Bottom