Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Mimi Angel namuelewa sanaa especially Pua yake
5274a7d1917c87d16ff00af4c97fba33.jpg

Hivi anamzidi Angelina Jolie kwa uzuri??? Angelina jolie ana hamasa kubwa kucheza script avae uhusika wa Cleopatra... Soma hapo chini

Angelina Jolie Dying to Play Cleopatra — 6 Actresses Who've Previously Taken On the Role - Closer Weekly
 
85bab7d88c2a43f7f518ce47f79bbc4f.jpg

Beauty is in the eye of the beholder......binafsi pia namkubali sana actress Angelina Jolie
 
Waethiopia, Somali na wanyarwanda ndo descendants wake ona walivo wazuri
 
Hahaha
Katika historia nnazo kataaga ni hizo, hata kipind hiki kusema uyu ndo mzuri kuliko dunian tuna shndwa pamoja na kuepo kwa technologia

Yaan ni uongoo huo
 
Huyo ndo cleopatra, alikuwa ni farao wa Vll wa misri, hakuwa mwanamke mzuri kuliko wote duniani, wanawake hupenda kusifiwa kwa uzuri na yy kipindi hicho alikuwa ni mtawala hivo alitaka kila mtu amwone yy ndio mzuri kuliko mwanamke yeyote, alikufa kwa kuumwa na nyoka cobra aliokuwa anawafuga"
Hii ina ni convice
 
Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Mwenye wimbo wa Cleopatra wa gwiji Zahir Zorro autupie hapa tafadhali.
 
Julius Cesar aliyekua mtawala wa Roman Empire alikwisha kabisa kwa Cleopatra ukumbuke Roman Empire ilitawala dunia kabla ya Uingereza. Cleopatra alikua na asili ya Afrika.
Mark Anthony ndio alimpenda Cleopatra na aliisaliti Roma kwaajili ya Cleopatra.

Octavian Cessar as manipulator.
 
Huo uzuri wake labda kwa kipindi hicho.Nenda posta pale jioni kuna watoto wazuri hata huyo Cleopatra anaomba 'po'
 
You se
Mark Anthony ndio alimpenda Cleopatra na aliisaliti Roma kwaajili ya Cleopatra.

Octavian Cessar as manipulator.

You seems to know history, it was my passion too but my parents wanted me to do science, which I don't regret. Julius Cesar and Cleopatra were in a relationship which produced a son by name Caesarean. Clepatra took Caesarean to Rome to visit Julius, while they were there Julius was stubbed to death by one of his loyalist and Mark Antony who was Army General took power and took Cleopatra as well. He married Cleopatra and appointed her to be the ruler of Egypt, Cyprus Greece and Syria which to many seemed like abusive of power.
 
Huyo ndo cleopatra, alikuwa ni farao wa Vll wa misri, hakuwa mwanamke mzuri kuliko wote duniani, wanawake hupenda kusifiwa kwa uzuri na yy kipindi hicho alikuwa ni mtawala hivo alitaka kila mtu amwone yy ndio mzuri kuliko mwanamke yeyote, alikufa kwa kuumwa na nyoka cobra aliokuwa anawafuga"
Kwa uzuri kweli mzuri ila wapo wazuri zaidi yake
 
Back
Top Bottom