Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

5274a7d1917c87d16ff00af4c97fba33.jpg

Hivi anamzidi Angelina Jolie kwa uzuri??? Angelina jolie ana hamasa kubwa kucheza script avae uhusika wa Cleopatra... Soma hapo chini

Angelina Jolie Dying to Play Cleopatra — 6 Actresses Who've Previously Taken On the Role - Closer Weekly
 
Acheni nyinyi, siku hizi kuna makeup, digital cameras na vinginevyo hata mwanamke awe mmbaya kama Remmy atatengenezwa awe mzuri. Cleopatra hakuwahi kupigwa picha, alichorwa. Kilikua kifaa si cha kawaida.
 
Eeeh, kumbe uzuri wake wa kuchora kama katuni za gazeti la sani
 
Acheni nyinyi, siku hizi kuna makeup, digital cameras na vinginevyo hata mwanamke awe mmbaya kama Remmy atatengenezwa awe mzuri. Cleopatra hakuwahi kupigwa picha, alichorwa . Kilikua kifaa si cha kawaida.

Acha mbwembwe ulimuona au muhemko umekusukuma kusema,umemuona kwenye picha za kuchora hahaha we kiboko,historia inamuelezea alikuwa ni mzuri............Ninakushanga kidogo alikuwa mzuri enzi zile na usijidanganye walikuwa wanatumia make up sana, dunia ya kileo kuna warembo acha kabisa bila hata make up.....
 
Tunajifunza historia ili tuelewe maisha ya sasa na kuboresha maisha yajayo, waliosimulia wanaelezea uzuri wake, kwani alikua mwanamke peke yake?
Nashangaa. Au wanawake wengine walikuwa hawaonekani
 
Waliposema "Hakuna mwanamke mrembo kama Cleopatra walishafanya utafiti.

Wakazipima akili za mwendelezo wa binadamu wakabaini kuwa:-

Wanaume wenye sura ngumu wengi wao ndio watamiliki uchumi mkubwa,

Hivyo watakuwa na uwezo wa kununua katika vilivyo bora kabisa,

Kwa kuwa mara nyingi (sijui kwa nini) watoto wa kike wengi wao hufanana na baba zao, mwendelezo wa ubora wa warembo utazidi kudorora na kushindwa kuufikia ubora wa Cleopatra kwani watoto wa kike wanasadifu sura ngumu za baba zao.
 
huu ni ugomvi kwa kweli ngoja waje
 
Creop
Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Cleopatra hakuwahi kuwa mzuri kumshinda Queen of Sheba!
 
Back
Top Bottom