Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
Dunia nzimaSema mzuri kuliko wote UDSM 2003/4-2007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia nzimaSema mzuri kuliko wote UDSM 2003/4-2007
Mbona anafanana na Yale mapicha ya kwenye karata?Ana uzuri gani huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona anafanana na Yale mapicha ya kwenye karata?
Mkuu unadanganya mno nefettit ni mwingine mkuu
Itabidi tuamini tu hizo myth hata kama ni uwongoDuh sasa tutamuonaje ili tujifananishe na hatimae tuandamane kupinga hiyo kauli kuwa yeye ni mzuri duniani
Ni demu wangu huyo tafadhali tutaonana wabaya.
Hakika Creopatra aliumbika
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Hata na nyimbo aliimbiwa.
Wafalme wa nji mbali mbali walikwemda kumuona malkia Creopata mm nimeadithiwa na mshua.
Na mshua wake alihadithiwa na mshua wakeMshua wake nae aliadithiwa na mshua wake
TMK Temeke.maandishi matatu ni wapi? Au r.i.p?
hilo nalo nenoooMbona hata mm namzidi????😛
Sema kweli!mim mwenyew hatariii cleopatra cha mtoto
""Dubenga"" wapi huko?wa Halima Hussein. Anaishi Magomeni. Kachanganya msomali, mnyamwezi, mmanga. Hakuna mwanamke mzuri ka
Miaka ya 1995 mitaa y
Miaka ya 1995 mitaa ya magomeni Idrisa pale kulikuwa na mdada alikuwa anaitwa Halima Hussein. Ni ny.o.ko huyo msichana,. Mtoto kachanganya, mnyamwezi , msomali , mmanga. Kuna mwarabu alitoka Oman mwaka 1999 akafunga nae ndoa, wakaenda kuishi Oman, baadaye nikasikia wapo Dubenga, now nasikia wanaishi maandishi matatu.
Dubai""Dubenga"" wapi huko?
Historia nzuri sanaUko sahihi ..Queen Nefertiti alikuwa ni malkia, mke wa Pharaoh Akhenaten.Alitawala miaka 1300 kabla ya Yesu kuzaliwa.(1370-1330BC)
Sanamu yake (bust) iliyokutwa katika pyramid alimozikwa iko Ujerumani. Nefertiti alikuwa Malkia mweusi.
![]()
Misri ilivamiwa na wageni wengi.Cleopatra anatokana na koo za wageni waliovamia Misri na alizaliwa mwaka 69 (kabla ya yesu kuzaliwa..yaani 69BC). Baba yake alikuwa mfalme PtolemyXII mwenye asili ya Wagiriki wa Macedonia(Europe).Ila inasemekana mama yake alikuwa mwafrika.
Cleopatra alitawala Misri akishirikiana na babayake,na baadae akatawala na kaka yake. Alishirikiana na Julius Caesar kumuondoa kaka yake.
Picha karibu zote za Cleopatra ni feki. kwasababu hazina uthibitisho wa sanamu kama wa Queen Nefertiti.
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁kuna mtoto yupo nmb mwanza sijawahi kuona hapa duniani hapa dunian alivyo kisu.