Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Kuna simulizi nyingi za zamani ambazo zinamtaja Cleopatra ambaye alikuwa malkia wa Misri enzi hizo kuwa ndiye mwanamke mzuri aliyewahi kuishi duniani. Je kuna ukweli wa habari hii?

Mwanamke mzuri kuliko wote duniani ni mama yako mzazi, Nukta.
 
Kuna simulizi nyingi za zamani ambazo zinamtaja Cleopatra ambaye alikuwa malkia wa Misri enzi hizo kuwa ndiye mwanamke mzuri aliyewahi kuishi duniani. Je kuna ukweli wa habari hii?
Inategemea na vigezo.
 
Achen mambo yenu bana mbana preta na nifah visu kumzidi
 
Kuna simulizi nyingi za zamani ambazo zinamtaja Cleopatra ambaye alikuwa malkia wa Misri enzi hizo kuwa ndiye mwanamke mzuri aliyewahi kuishi duniani. Je kuna ukweli wa habari hii?

Mwanamke bora kuliko wote , ni Mama Mariam ( A.S) full stop hzi zingine ni story not verified
 
LIKUTMK post: 15242978 said:
wa Halima Hussein. Anaishi Magomeni. Kachanganya msomali, mnyamwezi, mmanga. Hakuna mwanamke mzuri ka
Miaka ya 1995 mitaa y

Miaka ya 1995 mitaa ya magomeni Idrisa pale kulikuwa na mdada alikuwa anaitwa Halima Hussein. Ni ny.o.ko huyo msichana,. Mtoto kachanganya, mnyamwezi , msomali , mmanga. Kuna mwarabu alitoka Oman mwaka 1999 akafunga nae ndoa, wakaenda kuishi Oman, baadaye nikasikia wapo Dubenga, now nasikia wanaishi maandishi matatu.
Unamaanisha TMK!?
 
Wanawake wazuri wapo Malaysia bhana,hapa afrika wapo Ethiopia na kwa hapa Tz ni kanda ya kati na kaskazini,over
 
Nimeenda google ata bibi yangu anamzidi uzuri ila kwa historia yake huyu mwanamke inaonyesha alikuwa jini
 
Mwanamke mzuri alikua Udsm/Mabibo hostel 2005/2006 anaitwa Sophia,, Aiseee,,, alikua demu wangu wa kimoyomoyo
 
Mke wangu ni mzuri kuliko wote, mke wandiye mwanake mzuri aliye wahi kuishi chini ya JUA
 
kwa mujibu wa simulizi cleopatra alikuwa malkia katili na mwenye husuda,wivu kupitiliza na mwenye kupenda sana urembo,hakutaka kusikia kwamba kuna mwanamke mrembo zaidi yake,hivyo kusudi ubaki salama kwake ilikuwa ni lazima usande na kukubali kuwa yeye ndiye mrembo kuliko wanawake wote,ukitaka ligi kifo kinakuhusu!hivyo ndivyo alivyoweza kujijengea title katika dunia ya nyakati zake mpaka leo hii unasimuliwa na hivyo siyo kweli kwamba alikuwa kisu kupitiliza
 
Wekeni picha yake ya ukweli!msiweke picha za kwenye sinema
 
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtazamaji........

Hata J Lo alishagawah semwa ni mzuri sana kuliko wote dunian lkn kumbe hovyo tu!!

Sema hao waliomuona Cleopatra ni mzuri kuliko wote ni wale wafalme wakware na malaya ambao walikua na kiu na uchu wa madaraka ya kwa kuoa malkia Cleopatra wangejihakikishia kuwa na himaya kubwa......

Cleopatra alikua malaya tu kama wanawake wengine tu ila wakware ndio waliomuona mzuri
 
Back
Top Bottom