Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,673
- 1,875
Hahahahaha hongera kwa kuwa na kifaa hicho.Hawezi kumfikia mama watoto wangu hata akipita porini wanyama wa mwitu hujitokeza kumwangalia na kumshangilia mpaka miti inashangilia mola alivyomjalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha hongera kwa kuwa na kifaa hicho.Hawezi kumfikia mama watoto wangu hata akipita porini wanyama wa mwitu hujitokeza kumwangalia na kumshangilia mpaka miti inashangilia mola alivyomjalia
anaagiza sumu ndogo ya nyoka, asp, ambayo inaingizwa kwa siri kupitia kwenye kikapu chake anachotumia kuletewa matunda.Historia inasema alikufa kwa kuumwa na nyoka cobra (alimuweka nyoka kwa makusudi siyo bahati mbaya)
Ni kweli alipata stress akaamua ajiue kwa stahili hiyo..Historia inasema alikufa kwa kuumwa na nyoka cobra (alimuweka nyoka kwa makusudi siyo bahati mbaya)
Yap. Ungepata picha Irene anaangalia straight to the camera..
Yap. Ungepata picha Irene anaangalia straight to the camera..
anaagiza sumu ndogo ya nyoka, asp, ambayo inaingizwa kwa siri kupitia kwenye kikapu chake anachotumia kuletewa matunda.
Mkuu....Unaagiza vipi sumu ndogo ya nyoka Ushimen, na hasa ukizingatia kipindi kile hakukuwa na utaalamu wa kuhifadhi sumu hiyo? Nadhani hapo kidogo kuna kutoelewana, labda kutokana na tafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili. Ilivyoandikwa hata kwenye maigizo ya Cleopatra ni kuwa alipelekewa cobra (ambaye ndiye aliyekuwa official royal snake anaevaliwa hata kwenye mataji ya malkia) kwenye kikapu na ndiye aliyemtumia kwa kuumwa na huyo nyoka na kufa.
Basi sawa mkuuUnaagiza vipi sumu ndogo ya nyoka Ushimen, na hasa ukizingatia kipindi kile hakukuwa na utaalamu wa kuhifadhi sumu hiyo? Nadhani hapo kidogo kuna kutoelewana, labda kutokana na tafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili. Ilivyoandikwa hata kwenye maigizo ya Cleopatra ni kuwa alipelekewa cobra (ambaye ndiye aliyekuwa official royal snake anaevaliwa hata kwenye mataji ya malkia) kwenye kikapu na ndiye aliyemtumia kwa kuumwa na huyo nyoka na kufa.
True. Wanafanana!
Mi naona ni hadithi za kufikirika tu na upambaji wa kifasihi.yawezekana alikuwa mzuri sana kwa hizo zama zake alizokuwamo lakini kusema kuwa hatakuja kutokea mzuri kama yeye ni uongo uliopitiliza.Sifa kubwa aliyokuwa nayo huyo bishosti ni uwezo mkubwa wa seduction.alikuwa na uwezo mkubwa wa kucheza na saikolojia ya wanaume na kuwafanya wapagawe naye kupita maelezo.Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Sio kweli,hakuna Pharaoh aliyewahi kuwa mweusi ti.Mafarao walikuwa watu weusi,,hivyo Cleopatra alikuwa ni mwanamke mweusi ti,,,wazungu waongo wamebadilisha historia
Mkuu,Sio kweli,hakuna Pharaoh aliyewahi kuwa mweusi ti.
The story of Cleopatra’s death, as handed down to us by her conqueror, is that she killed herself by means of a poisonous snake. According to Suetonius, the stunned Octavian summoned snake charming Psylli to suck the poison from puncture wounds found on her arm. Later, she was depicted in a wax effigy during Octavian’s triumph with an asp clutched to her breast and contemporary poets like Virgil also alluded to the snake as the instrument of her death.Unaagiza vipi sumu ndogo ya nyoka Ushimen, na hasa ukizingatia kipindi kile hakukuwa na utaalamu wa kuhifadhi sumu hiyo? Nadhani hapo kidogo kuna kutoelewana, labda kutokana na tafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili. Ilivyoandikwa hata kwenye maigizo ya Cleopatra ni kuwa alipelekewa cobra (ambaye ndiye aliyekuwa official royal snake anaevaliwa hata kwenye mataji ya malkia) kwenye kikapu na ndiye aliyemtumia kwa kuumwa na huyo nyoka na kufa.
Movie na stori nyingi za vijiweni mara nyingi hupotosha ukweli. Cleopatra hakua mzuri na wala hakusifika kwa uzuri. Bari alisifika kwa kua na akili na ivyo kumfanya aweze kua na uwezo wa kuwapata wanaume wenye nguvu za kimadaraka kama Julius Caesar na Marc Anthony. Ambao wote walikua wamemzidi umri kwa kiasi kikubwa tu. Alichohitaji yeye kilikua ni kuimarisha nguvu ya utawala wake kwenye kiti cha umalkia uko Egypt.Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Sio kweli Cleopatra ni mgiriki, ni wale wagiriki wa kwanza kutawala egpty and she ruled egpty enzi hizo lkn hana asili ya africaJulius Cesar aliyekua mtawala wa Roman Empire alikwisha kabisa kwa Cleopatra ukumbuke Roman Empire ilitawala dunia kabla ya Uingereza. Cleopatra alikua na asili ya Afrika.
She was not that beautiful, tale zinasema mzuri bcz she was able to lure the king of roman empire, aand it was the strong empire at that time. And wanted to over thrown him ili a rule roman empireHabari wanajamii forum