Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Alikuwa mrembo. Si mzuri. Uzuri ni jambo pana na mtambuka(crosscutting)sana.
 
Dhana ya uzuri ni complex sana, mimi hadi sasa nashindwa kuelewa uzuri ni nini?
 
Kwa ninavyo elewa mm mwanamke mzuri kuliko wote duniani ni Hawa mke wa nabii Adam na anefuata ni Sara mke wa nabii Ibrahim. Huyo cleopatra ni mrembo wa kawaida huenda hawezi kufikia hata hawa dada zetu wa kiafrica
Mie mke wangu ndio mrembo kuliko wanawake wote Hawa haoni ndani
 
uzuri ni relative term pengine kwa kipindi hicho yeye ndo alikua mzuri kuliko wote so be it ni kama kipofu ukimwambia nyani ndio mnyama mzuri kuliko wote anaweza akashindwa kukukatalia maana hana wa kulinganisha!!!
 
Aweke picha ili iweje? ili uanze kummendea.Je! kama mnadai picha mwaweza kupata picha za Hawa na Sara ili kufanya ulinganifu?
 
Hakuwatikea mwanamke mzur kama mama yetu hawa mke wa baba yetu adamu, pia hakuwai tokea kijana mzur handsome kama nabii yusuph....mambo ya creopatra ni propaganda na uzushi tu
 
Aiseeeee kama ambavyo anaweza kushinda binti taji la miss Tanzania na bado maswali yakawa mengi.
 
Wana Jf mimi ni mwanachama mpya na ninaomba mnikaribishe, ninaomba mnisaidie niweze kupata majibu kutoka kwenu

Kwa mujibu wa vitabu vya historia ya farao wa misiri cleopatra ndie alie kuwa farao wa mwisho Misiri hakuwa mzuri kihvyo ila alitoka na watu maarufu wengi mfano alisha wai kuwa mke wa ceaser au alexander the great(sikumbuki vizuri kwa hapa ila ni yule alie conquer miji mingi) na ndie alie kuw ushawishi mkubwa wa bwana wake huyu kwenda ku vamia ,akaja kutoka na Antony wa roman empire wengine nime wasahau ila alikuwa akitoka na watu wakubwa na alikuwa akishi kingdom za mabwana zake huku akiongoza misiri na dada yake kumpindua na kurudi tena katika uongozi mwishoe ali kamatwa na kuafanikiwa kujiua kwa sumu ya nyoka kuonesha ushujaa kutokana na mila zao na ndio ukawa mwisho wa utawala wa mafarao misiri.....kuna mmoja kati ya yeye au dada yake ali olewa na mdogo wake mdogo ili awe kiongozi.

Mfano halisi ni kama saivi wema sepetu utaskia leo yupo na diamond kesho sijui kwa nani sasa miaka ya mbeleni huko kutokana na stori watu watasema enzi hizo kulikuwa na dada mmoja mzuri kuliko wote anaita wema scenario kama hii ndio ilitokea
.
 
Dhana ya uzuri ni complex sana, mimi hadi sasa nashindwa kuelewa uzuri ni nini?

Beauty is in the eyes of beholder!wewe unaweza ukasema huyu mwanamke ni mzuri,na mimi nikasema huyu mwanamke ni wa kawaida sana!
 
Wana Jf mimi ni mwanachama mpya na ninaomba mnikaribishe, ninaomba mnisaidie niweze kupata majibu kutoka kwenu
Karibu sana mkuu,ukifuatia vizuri haya mabandiko ya wanajf utapata ukweli!
 
Cleopatra aliishi kabla ya yesu..naona kama story yake imesambaa sana hata kwenye vitabu visivo vya dini.
 
Kwa kipindi kile kweli yeye ndiye pekee alikuwa mrembo kweli kweli.Sasa hivi wapo walio zaidi yake.Mfano,Sarah Alibalio nk.
 
Cleopatra alikuw mdhai ktk masuala ya ngono,aliingia kwny mahusiano na kaisar wa rumi Anthony ili amsaidie ktk vita dhid ya kaka yake ptolemy alikuw anatawala kask(ugirik,macedonia,uturuk nk)wakamshnda,wakafanya sherehe ya anasa ktk moja vya visiwa vya bahar ya mediteranian kw zaid ya siku 100,Anthony nae alikuw mlevi,kwa kifup ALEXANDER THE GREAT NDIE ALIETANUA UTAWALA WA KIYUNAN ULMWENHUN WAKAT HUO,KTK MTIRIRIKO WA URITH KTK UTAWALA HUO NDIPO MWISHON ANAKUJA CLEOPATRA NA PTOLEMY HAWA NI NDUGU WA DAMU
 
Good naration nilikuwa naingojea hii.

hata hivyo mkumbuke baada ya alexander the great kuziteka misri, uajemi na india alikufa. Majenerali wake wanne ndio waliogawana hizo falme mmojawapo ndio ptolemy ambaye alichukua misri wengine wakachukua zilizobakia (macedonia, india na uajemi).

Ptolemy akajitangaza kuwa farao wa misri, ndio kizazi pekee cha mafarao ambacho akina asili ya misri ambacho kiliishia kwa cleopatra baada ya yeye kujiua. hivyo utawala wa rumi ukaanza kuitawala misri kabla ya uislamu.

funzo:
hata ufalme uwe mkubwa vipi, utakuja kuangamia tu. Misri ilitawala zaidi ya miaka 3000 na ikaishia magofu, rumi na uajemi nayo sasa hivi magofu yao yamekuwa makumbusho tu.
 
Back
Top Bottom