Wickama
JF-Expert Member
- Mar 8, 2009
- 1,466
- 1,196
Mkuu,
nitaongeza kidogo walipoachia wenzangu. Mwelekeo wa sasa (sayansi) inaonyesha Cleopatra alikuwa na uafrika. Inaonyesha baba alikuwa wa macedonia lakini mama yake alikuwa dada wa kiafrika. Hii ni kutokana na kupatikana ushahidi wa karibuni juu ya fuvu la marehemu dada yake (inasemekana alimuua yeye mwenyewe).
Scientists say Cleopatra may have been African because her sister, Arsinoe was - National Healthy Trends | Examiner.com
Sitashangaa kesho wakikiri alikuwa mwafrika 100%. Hii si ajabu kama kwa sasa weshaanza kukiri dada mtu alikuwa mwafrika. Kumbuka wakazi asilia wa misri kipindi hicho walikuwa waafrika weusi, sio waarabu wa siku hizi. Desturi ya wakazi wa nchi za ulaya kujipachika kila kilicho bora haijaanza leo.
Ama kuhusu jibu la swali lako jibu ni SIJUI na PIA SIDHANI ni kweli.