Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
OkyNope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkyNope
Hata hzo picha mm.sijaona uzuri wa picha na video alizocheza.. ni wa kawaida saaana tuuu...Inasemekana picha zote zinazosemekana ni za cleopatra mitandaoni sio yeye na wala hakuna anayejua cleopatra alikua anaonekanaje, Ila kutona na michoro ya sarafu iliyopatikana na kwa historia inasema cleopatra alikua wa kawaida sana na hafananii huo uzuri wanaompa
Lol.miaka alokuwa Cleopatra huyo Marc Anthony hakuzaliwa ujue tunaongelea warumi hiyooo my dear.Marc Anthony huyu ni yule aliedate JLo?
[emoji870][emoji870][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Jamii Forums kweli jukwaaKuna Kileopatla mwingine anatudunga Chibuku DDC Kariakoo. Sura hamna kitu lakini chura mhn we acha tu
Wanawake wenye chura wana vituko sana!Lol.miaka alokuwa Cleopatra huyo Marc Anthony hakuzaliwa ujue tunaongelea warumi hiyooo my dear.
Huyu ni yule wa hotuba tata Nimekuja kumzika kaisari wala siyo kumtukuza.Marc Anthony huyu ni yule aliedate JLo?
Hii ni lugha gani?!?!What if your wrong??and they are right??
Marc Anthony huyu ni yule aliedate JLo?
NakaziaMkuu huna picha yake tujionee urembo wake uliotukuka
Duuh!!mkuu mbona umepanic sana??Hii ni lugha gani?!?!
Ujinga wa kujitia kujua kumbe mnaungua jua. Andika lugha yetu Kenge wewe husikii mpaka damu zikutoke masikioni.
Kusema kweli kwa story tulizoaminishwa,na mapicha picha.wanasema alikuwa mwanamke mzuri sana.Ninachojua huyu mwanamama alikuwa mzuri kweli kweli.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama ni yeye basi atakuwa vampire hafiMarc Anthony huyu ni yule aliedate JLo?
Kumbe mkuu upo pia kwenye ubuyu wa kimataifa?![emoji23][emoji23][emoji23]
Marc Anthony huyu ni yule aliedate JLo?
Huwezi kupata picha ya Cleoptra. Alikuwapo enzi kabla ya Kristo kuzaliwa. Kamera zilikuwa bado. We amini kwamba alikuwa mrembo kupindukiaKusema kweli kwa story tulizoaminishwa,na mapicha picha.wanasema alikuwa mwanamke mzuri sana.
Mimi pia nimejaribu hata kufatilia mabinti wenye majina ya Cleopatra,kusema kweli ni wazuri.
hata kapicha cha uwongoHuwezi kupata picha ya Cleoptra. Alikuwapo enzi kabla ya Kristo kuzaliwa. Kamera zilikuwa bado. We amini kwamba alikuwa mrembo kupindukia
Ni sehemu ya kizazi chake lakini hajafikia hata 1 ya 100 ya uzuri wake, Yasemekana baadhihata kapicha cha uwongo