Kleopatra inasemekana ndiye mwanamke mrembo kuliko wote kupata kutokea hapa duniani na ambaye hadi leo hakuna mwanamke anayekaribia ama kuzidi urembo wake.
Kleopatra alikuwa mtawaal wa Misri (Malkia) mwaka 66 Kabla ya Kristo; Alipokuwa na miaka 18 babake Ptolemaio XII aliaga dunia ndipo akarithi ufalme pamoja na kakaye aliyekuwa mdogo wa miaka 12.
Inasadikiwa alikuwa na urembo kupindukia, alivaa mavazi ya hariri na kupambwa na vito vya kama Almasi na Dhahabu.
Akiongea sauti yake illikuwa na nguvu ya kuwafukuza wachawi na hata washirikina. inasadikiwa kwamba hatatokea mwanamke mwingine hapa duniani mwenye urembo kama wa kwake yeye!!
View attachment 916866