Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ndio huyo hapo kwenye picha mkuu ama kuna mwingine???
Vepe tukubandikie picha za wapenzi wetu...tulinganishe???
Usikariri mkuu be practical...
 
Hamna lolote, kuna mabinti hapa mtaani kwetu wanamkimbiza mbaya... mazungu yanapenda kujipendelea tu
uzuri ni pamoja na akili na nguvu za nafsi alizonazo mwanamke, sasa unakaa na binti mwanzo mwisho hu gain lolote - huyo naye unamwita mrembo? ama anakusaidia tu kwa muda huo.
 
HAJATAJWA KAMA MWANAMKE MZURI KULIKO WOTE BHANA (WE MKE WANGU UNAMJUA ALIVYO MUREMBO 😎)

CV YAKE HII HAPA
Cleopatra
Pharaoh
Cleopatra VII Philopator was the last active ruler of the Ptolemaic Kingdom of Egypt, nominally survived as pharaoh by her son Caesarion. She was also a diplomat, naval commander, linguist, and medical author.Wikipedia

Born: 69 BC, Alexandria, Egypt
Died: August 12, 30 BC, Alexandria, Egypt
Nationality: Macedonian
Buried: Tomb of Antony and Cleopatra
Spouse: Mark Antony (m. 40 BC–30 BC), Ptolemy XIII Theos Philopator, Ptolemy XIV of Egypt
Children: Caesarion, Alexander Helios, Cleopatra Selene II, Ptolemy Philadelphus
 
Alikuwa na nini ambacho wanawake wa sasa hawana?
we demu wako akiongea hata inzi hashituki -- ha ha ha (joking)

Alikuwa na sauti iliyokuwa inashinda nguvu za kichawi... (Urembo wa Mwanamke ni pamoja na uwezo wa nafsi aliotunukiwa na muumba)
 
kama alikuwa wa kawada kwa nini aingizwe kwenye historia ya ulimwengu!!
Labda alikuwa na mashimo mengi, mengine yalikuwa yanatoa asali, maziwa, bia za ngano ya thamani na mashimo mengine yalikuwa yana vibrate kwa ajili ya kukamua sperm zitoke kwa wingi
 
nmeanza safari yaku pingana nayo mkuu
ha ha ha

Urembo una dhana pana, si sura tu kama sisi tunavyodhani - urembo ni pamoja na werevu, uwezo wa nguvu za nafsi, nguvu za kifedha, Nguvu ama uwezo wa kutawala (kusikilizwa) nk

sasa ukijjumlisha na sura, yawezekana haya ndiyo yalifanya aitwe Mrembo wa dunia ambaye hatakaa atokee tena!!
 
ha ha ha

Urembo una dhana pana, si sura tu kama sisi tunavyodhani - urembo ni pamoja na werevu, uwezo wa nguvu za nafsi, nguvu za kifedha, Nguvu ama uwezo wa kutawala (kusikilizwa) nk

Yawezekana haya ndiyo yalifanya aitwe Mrembo wa dunia ambaye hatakaa atokee tena!!
hhah
lakini kwa mwanaume ukiambiwa mrembo lazma ujitafakari mara kumi
 
Kleopatra inasemekana ndiye mwanamke mrembo kuliko wote kupata kutokea hapa duniani na ambaye hadi leo hakuna mwanamke anayekaribia ama kuzidi urembo wake.

Kleopatra alikuwa mtawaal wa Misri (Malkia) mwaka 66 Kabla ya Kristo; Alipokuwa na miaka 18 babake Ptolemaio XII aliaga dunia ndipo akarithi ufalme pamoja na kakaye aliyekuwa mdogo wa miaka 12.

Inasadikiwa alikuwa na urembo kupindukia, alivaa mavazi ya hariri na kupambwa na vito vya kama Almasi na Dhahabu.

Akiongea sauti yake illikuwa na nguvu ya kuwafukuza wachawi na hata washirikina. inasadikiwa kwamba hatatokea mwanamke mwingine hapa duniani mwenye urembo kama wa kwake yeye!!


View attachment 916866
No kweli alikua mrembo hasa
 
Kleopatra na mdogo wake Ptolemy walitakiwa kua wapenzi na kuitawala misri kwa pamoja kama mfalme na malkia, lakini waliangukia katika beef zito sana kugombania kiti, baadae Cleopatra anakutana na kaizari na wanazaa mtoto aliyeitwa kaizaria ambaye atatawala misri kwa siku 14 tu na baadae kuuwawa....baada ya kaisari kuuwawa aliekua rafiki yake kaisari anamkamatia Cleopatra na wanazaa watoto wengine....kwa hisani ya documentaries za netflix
 
Back
Top Bottom