Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Cleopatra alikuwa mwanamke mrembo zaidi hata ya Eva!.. na Historia inambeba!.
 
Kwa hiyo wanaosema Alikuwa Mzuri wanadanganya!? Na unadhani ni kwanini yeye tu ndiye atajwe kwenye historia ya warembo ili hali wewe unasema alikuwa Sura Mbuzi?
 
Ila vyanzo vingi vinasema Cleopatra ndiye mwanamke mzuri aliyewahi kuishi chini ya jua mpaka sasa
 
Kwa hiyo wanaosema Alikuwa Mzuri wanadanganya!? Na unadhani ni kwanini yeye tu ndiye atajwe kwenye historia ya warembo ili hali wewe unasema alikuwa Sura Mbuzi?
Mkuu Kiraza nakuona umepata shavu la kuigiza kwenye tamthiliya pendwa ya Sultan!
 
Kleopatra inasemekana ndiye mwanamke mrembo kuliko wote kupata kutokea hapa duniani na ambaye hadi leo hakuna mwanamke anayekaribia ama kuzidi urembo wake.

Kleopatra alikuwa mtawaal wa Misri (Malkia) mwaka 66 Kabla ya Kristo; Alipokuwa na miaka 18 babake Ptolemaio XII aliaga dunia ndipo akarithi ufalme pamoja na kakaye aliyekuwa mdogo wa miaka 12.

Inasadikiwa alikuwa na urembo kupindukia, alivaa mavazi ya hariri na kupambwa na vito vya kama Almasi na Dhahabu.

Akiongea sauti yake illikuwa na nguvu ya kuwafukuza wachawi na hata washirikina. inasadikiwa kwamba hatatokea mwanamke mwingine hapa duniani mwenye urembo kama wa kwake yeye!!

1540979281770.png
 
Hamna lolote, kuna mabinti hapa mtaani kwetu wanamkimbiza mbaya... mazungu yanapenda kujipendelea tu
 
Back
Top Bottom