Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Hata hzo picha mm.sijaona uzuri wa picha na video alizocheza.. ni wa kawaida saaana tuuu...
 
Mkuu hapa ndo umemaliza au bado..... Hapo juu umesema mfahamu sasa cjajua kama ushafafanua vya kutosha
 
Marc Anthony huyu ni yule aliedate JLo?
Huyu ni yule wa hotuba tata Nimekuja kumzika kaisari wala siyo kumtukuza.

I come to bury Caesar, not to praise him. The evil that men do lives after them;. The good is oft interred with their bones.
 
Ninachojua huyu mwanamama alikuwa mzuri kweli kweli.
Kusema kweli kwa story tulizoaminishwa,na mapicha picha.wanasema alikuwa mwanamke mzuri sana.

Mimi pia nimejaribu hata kufatilia mabinti wenye majina ya Cleopatra,kusema kweli ni wazuri.
 
Kusema kweli kwa story tulizoaminishwa,na mapicha picha.wanasema alikuwa mwanamke mzuri sana.

Mimi pia nimejaribu hata kufatilia mabinti wenye majina ya Cleopatra,kusema kweli ni wazuri.
Huwezi kupata picha ya Cleoptra. Alikuwapo enzi kabla ya Kristo kuzaliwa. Kamera zilikuwa bado. We amini kwamba alikuwa mrembo kupindukia
 
hata kapicha cha uwongo
Ni sehemu ya kizazi chake lakini hajafikia hata 1 ya 100 ya uzuri wake, Yasemekana baadhi
ya Wanyama wamewahi kuanguka kwa mfadhaiko kutokana na uzuri wa CLEOPATRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…