johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je, ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari