johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Ahsante sana kwa Ufafanuzi na mfano haiHuo ndio utaratibu ulivyo ndio maana mara nyingi teuzi wanafanya usiku. Mara baada ya kuteuliwa kwa kiongozi mpya na mwingine kutenguliwa, Dereva anatakiwa amtafute na aripoti kwa mteuliwa mpya.
Hiko kilimtokoea mwigula enzi za JPM alikiwa ziarani Kigoma na akatengulowa huko. Utaratibu unamtaka dereva ambebe waziri/RC/DC/DED anayetakiwa na aliyepo kwenye nafasi na sio vinginevyo.
Dereva hajakosea mkuu.