Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Kwa Trump naweza kuelewa, ila kwa Ramaphosa na viongozi wa Afrika wakiwa madarakani wanaendelea kupiga ndilo linalowauma kuyaacha. We fikiria wizara hiyo aliyoacha ile mikopo ya wasanii fedha ziko tu unaweza kula kwa kila mnufaika.
Sure thing!
 
Kumbe madereva huwa wana number plates mambo ya ajabu

BKumbe madereva huwa wana number plates mfukoni
Wana mambo ya ajabu hata hivyo sidhani kama akimuacha. Dereva kama dereva hatakiwi kutokuwa mtiifu kwa boss wake maana ya kesho hayajulikani.

Kama ni utaratibu kuvadilisha plate basi anamsubiri anamrudisha kwake.

Yule ni mbunge na anaweza pewa nafasi nyingi dereva anaendelea kuwa dereva tu.
Kama ni kweli inachekesha.
 
Haswa
Sidhani kama Dereva ana mamlaka ya kuondoka na kumuacha Waziri mahali kisa katumbuliwa

Lazima kuna protocols
 
Back
Top Bottom