Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Hii ni sinema ya maandalizi ya uchaguzi..
Wanajulikana hawakubaliki..ili serikali ionekane imara na haijalala wamefanya kama wamewatoa sadaka..
Kipindi cha pili baada ya mapumziko(uchaguzi),wanaingia uwanjani kama kawa.
Uchaguzi hauko mbali.
 
Kama ukitumbuliwa upo Katavi kiserikali inamaana uachwe ujitafutie namna ya kurudi? Siku moja hizo drama zitafanya serikali ishtakiwe na kulipa pesa nyingi.
Utaingiziwa pesa kwenye akaunti za nauli au tickets za ndege au kununuliwa tickets ya basi au ndege urudi kwenu kama ukikuwa kwenye msafara ila kama ni kituo chako cha kazi utalipwa stahiki zako zote ikiwemo za kubeba mizigo kwenda kwenu utafute usafiri mwenyewe baada ya kulipwa chako

Sio kazi tena ya serikali kukupa gari mafao yako yatumie kwenda kwenu
 
Dereva yupo sahihi ukitenguliwa tu hata ofisini huruhusiwi kuingia unakuta password zishabadilishwa, utaenda utakapo hitajika au kuitaji kukabidhi
Ni sahihi boss katenguliwa akiweka bomu au ndumba za kumdhuru atakayekuja itakuwaje? Ndio maana kutenguliwa hutangazwa ghafla na dereva anatoroka na gari asije ulizwa ulimpakia yule aliyetenguliwa kwenye gari ya waziri lama nani? Hujui hiyo gari ni ya waziri?

Huyo ukiyempakia ni nani hadi apande gari ya waziri? Sheria za kazi ndivyo zinasema? Kuwa gari ya waziri aweza panda yeyote?

Aweza fukuzwa kazi kwa kupakia abiria asiye waziri
 
Hawezi kufanya hivyo utaratibu haimruhusu anachotakiwa ni kuondoa plate number tu
Mkuu lakini hata akitumbuliwa si kuna utaratibu wa kukabidhi ofisi na hapo ndo final. Nadhani hata kubadilisha number plate hairuhusiwi.
 
Dereva yupo sahihi ukitenguliwa tu hata ofisini huruhusiwi kuingia unakuta password zishabadilishwa, utaenda utakapo hitajika au kuitaji kukabidhi
Ni sahihi boss katenguliwa akiweka bomu au ndumba za kumdhulu atakayekuja itakuwaje? Ndio maana kutenguliwa hutangazwa ghafla na dereva anatoroka na gari asije ulizwa ulimpakia yule aliyetenguliwa kwenye gari ya waziri lama nani? Hujui hiyo gari ni ya waziri?

Huyo ukiyemoakia ni nani hadi apande gari ya waziri? Sheria za kazi ndivyo zinasema? Kuwa gari ya waziri aweza panda yeyote?

Aweza fukuzwa
 
Back
Top Bottom