Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza

Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.

Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM

Je, ni Kweli?

Kwako Maranja wa Chadema X

Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Yaani alitoka baruti kama Ngiri mkia juu kamuona simba
 
Watanzania ni wakarimu sana, namna pekee dereva anaweza muacha Nape (kama kweli alimuacha) itakuwa hawakuwa na mahusiano mazuri ya kazini.
Huwa wanapigiwa simu kufanya hivyo na ukikiuka na wewe waweza kupoteza ajira, huwa simchezo ukishatenguliwa, na dereva anaweza kukuvimbia hauna la kumfanya.
 
😂😂😂 inatosha wapumzisheni
 
Attachments

  • IMG_3118.jpeg
    IMG_3118.jpeg
    65.4 KB · Views: 2
Huwa wanapigiwa simu kufanya hivyo na ukikiuka na wewe waweza kupoteza ajira, huwa simchezo ukishatenguliwa, na dereva anaweza kukuvimbia hauna la kumfanya.
Sahihi

Tena mara ingine dereva huwa na taarifa kabla ya bosi kutenguliwa kuwa ukimshusha tu kwenye mkutano au kikao rudisha gari wizarani haraka au kwa ofisi ya mkuu wa mkoa au wilaya chapchap na hatakiwi kuhoji au hata kupaki serikali ya mtaa au ofisi ya CCM au anaambiwa lock milango potea akija hakuti dereva akitoka abaki kupiga miyowe kuwa dereva Simuoni mshenzi huyu dereva
 
Hapana huu ni uongo
Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza

Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.

Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM

Je, ni Kweli?

Kwako Maranja wa Chadema X

Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
u
 
Lile robot litakuwa lilimbeba. Maana ndio akili mnembe aliyokuwa anaitumia 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom