Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Nappe aliachwa , akaita bolt lakini madereva walikuwa wana-cancel maana walikuwa na wasiwasi wa kupotea. Naskia alikuja kupata bajaji ya Uber baadae sana.Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X