johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
umesema kweli... Na bado anaendelea kupiga pesa ya ubunge.Mtu akaunti ina mamilioni
Madaraka ni matamu kuliko Fedha kama unabisha muulize Trump au Ramaphosa ππumesema kweli... Na bado anaendelea kupiga pesa ya ubunge.
Kwa Trump naweza kuelewa, ila kwa Ramaphosa na viongozi wa Afrika wakiwa madarakani wanaendelea kupiga ndilo linalowauma kuyaacha. We fikiria wizara hiyo aliyoacha ile mikopo ya wasanii fedha ziko tu unaweza kula kwa kila mnufaika.Madaraka ni matamu kuliko Fedha kama unabisha muulize Trump au Ramaphosa ππ
Siwezi kuamini kama hili ni la kweli
Hili ndio huwa target kwa kila anayepata madaraka hapa Bongo, lazima ahakikishe anavuna vya kutosha kwa ajili ya baadae akiwa pembeniMtu akaunti ina mamilioni
Pale Ikulu Mwinyi alipovunja Baraza Mawaziri waliondoka kwa miguu Baada ya kukuta Magari hayapo πππHawezi kufanya hivyo utaratibu haimruhusu anachotakiwa ni kuondoa plate number tu
Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X