Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Kiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Unga ni albadiri ya kihindi, ukitumia tu umekwisha umejiroga mwenyewe.

Kwa ambao ni watu wake wa karibu na kama wanampenda basi hizo safari za Marekani badala ya kununuwa saa za bei mbaya hizo pesa abadilishe damu hospitali atate damu fresh ndio salama yake, otherwise atabaki historia alikuwaga.
 
Kumbe ni albadiri😬
 
Yaani🤣🤣🤣🤣
 
Yah wengi ni maigizo yani life style yao inawaponza maana mwisho wa siku hawataki kukubaliana na hali ndo kujiingiza kwny kutumia dawa za kulevya au kuvuta mabangi
True wasanii ambao hawana mbwembwe wanaishi vizuri tena unakuta wanatengeneza pesa kuliko hao wenye mbwembwe mfano navykenzo, weusi nk
 

Mbona umeongelea ushoga nani shoga tena mwaga info
Maana to be honest diamond kuna mda anabeba vipochi ananishangaza najiuliza tu uzima upo pale[emoji1381]‍♀️
 
Kwa sisi wazoefu, ukimtazana Diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.

Ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.

Hio grade A haina madhara?mtaalam naomba unielimishe
 
Yani picha za Instagram zinatudanganya sana nilimuona Dimond live nilisikitika kabisa aiseee. Na Harmonise ndo akivaa kaptura ana makovu kama alipigana world war. Ila ndo hivyo hivyo vitu ni too personal

Hayo makovu ya harmonize ni sababu ya nini shosti?
 
Je umesikia chawa wa Diamond vile huwa wanawasakama opponents wa mondi. Na ni wazi Diamond yuko nyuma yao kwa kuwaagiza moja kwa moja au anafurahia wanachofanya. Diamond angalia hata baby mamaz wake akiachana nao huwa hatoki mbele yeye ila chawa wake watamsakama huyo mwanamke mpaka atamani kujinyonga huko aliko. Kama angekua hataki au hawatumi angekua anawakataza nani ambaye angeruhusu mama mtoto wake kusemwa vibaya na watu wako wa karibu kama sio wewe unawatuma.

Kwahiyo kwenye swala la kuwasema wenzie Diamond anatumia watu wake yaani yeye akitoka mbele kuongea ujue anaona anazidiwa au anataka iwe kiki yake. Na ndio kitu Harmonize kinamkera kama umesikiliza ile interview yake. Kwanini watu wa WCB wanamsema sana hamuachi afanye mambo yake kwa amani.
 
Chawa wapo tu best..kuna chawa wa Nick Minaj kazi yao kudiss other female rappers..kuna Bey Hives matusi kama yote..hawaagizwi ni ujinga ujinga tu mtu unaweza kusema wanalipwa ila hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…