Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

20211117_161907.jpg
 
Duuh...! Itakuwa hasara. Kwamba tayari wamemuingiza?. Kunaweza kuwa na kaukweli. Mbona amekimya sana Mond?
 
Wabongo tunapenda sana kupangia watu maisha.

Mihadarati kama anatumia si ananunua kaa pesa yake jama...

Kuna mtu hapo kasema eti mwamba ana stress sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], bongo nyoso aisee. Mtu huishi nae hiyo kua na stress umeiona kwenye IYO
Kwavile ananunua kwa pesa yake ndio iwe halali kwake kama kioo cha jamii kutumia? Mkuu unajua Diamond anafataliwa na idadi ya watu wa ngapi na katika hao vijana na watoto ni wangapi ambao wanaweza kuwa influenced na lifestyle yake?

Martin Luther aliwahi kusema hivi "Our lives begin to end the day we become silent about things that matter.”
 
They say kuna mengi sana nyuma ya utajiri wake.. yanamu hunt sana, sina hakika lakini
Alipoanza mziki alikuwa na Amani hii kwa mimi binafsi mtazamo wangu waja wasinipopoe ila kwa sasa japo maisha mazuri anaonesha hana amani na hata ile nuru yake usoni imepotea
 
Siku Harmonize aki mdis Ally Kiba tuna msahau , nayeye analijua hili ndio maana alipo pigwa dongo kwenye mediocre Alikausha kimya
 
Wabongo tunapenda sana kupangia watu maisha.

Mihadarati kama anatumia si ananunua kaa pesa yake jama...

Kuna mtu hapo kasema eti mwamba ana stress sana 😂😂😂😂, bongo nyoso aisee. Mtu huishi nae hiyo kua na stress umeiona kwenye IYO
Kuzaliwa bongo tu ni stress tosha,,watanzania wote tukitazamana tunaonekana tunatumia mihadarati🤣🤣
 
Mbon bado sana,hawa jamaa kitaumana sana na mbaya zaidi mmakonde sio kama Ali Kiba...hana dogo wala kubwa yeye jino kwa jino kwa lolote na vyovyote vile[emoji51][emoji51]
Hapo waswahili wamekutana. Bahati nzuri wote wamejaaliwa vijembe. Basi watapigana vijembeee! Kazi kwa misukule ya mondi kumtetea.
 
Protein powder ni supplements mara nyingi zinakuwa ni Whey Protein...wanaotumia wanaziweka kwenye vinywaji kama maziwa au maji wakienda Gym ili kujenga mwili, mbadala wake ni kupiga menu ya kufa mtu, ndio wale unakuta mtu anakula kuku mzima portion 2, mayai 10 etc. Ili kupata kiwango cha protein cha kutosha kwa siku, hiyo protein huwa haina kilevi chochote...nyingine huwa zipo kwenye formula za vyakula vya watoto kama lactogenView attachment 2013250
Ok unauhakika gani kwamba dimond Hasniff unga ila anatumia dawa kama unazotaka wewe!?
 
Back
Top Bottom