Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They say kuna mengi sana nyuma ya utajiri wake.. yanamu hunt sana, sina hakika lakiniDaimond sura yake inaonesha anatumia na ni mtu mwenye Stress mno.
Kwavile ananunua kwa pesa yake ndio iwe halali kwake kama kioo cha jamii kutumia? Mkuu unajua Diamond anafataliwa na idadi ya watu wa ngapi na katika hao vijana na watoto ni wangapi ambao wanaweza kuwa influenced na lifestyle yake?Wabongo tunapenda sana kupangia watu maisha.
Mihadarati kama anatumia si ananunua kaa pesa yake jama...
Kuna mtu hapo kasema eti mwamba ana stress sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], bongo nyoso aisee. Mtu huishi nae hiyo kua na stress umeiona kwenye IYO
Kama ni kweli basi mwisho wake unakaribia[emoji21]Kiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Alipoanza mziki alikuwa na Amani hii kwa mimi binafsi mtazamo wangu waja wasinipopoe ila kwa sasa japo maisha mazuri anaonesha hana amani na hata ile nuru yake usoni imepoteaThey say kuna mengi sana nyuma ya utajiri wake.. yanamu hunt sana, sina hakika lakini
Kuitwa na msanii mkubwa kwenye jukwaa kubwa na kutumia wimbo wako means ameona kitu ndani yako, kwanini hakuwauta walatino wenzie? Mpongeze tu Rayvanny haina namna[emoji38][emoji38]
Mkuu kwani ukimuita Diamond utapungukiwa nini hadi umuite domo?Harmonuze aongeze bidii hamfikii domo hata kudigo na asidhani kwamba kwa kupika majungu ndio domo atashuka
Marioo ni Aslay alie changamka🤣🤣🤣🤣 ila ishu zao wanatambiana hawana maajabu wote kweny mziki marioo huyo anapaa
No. I mean kwenye kutoa ngoma. Hivi kuna ngoma ameibuka nayo hivi karibuni?Mara nyingi Dimond huwa hajibu tuhuma zozote huwa anakaa kimya
Sio 600M tu bali ni 688MMhh mmakonde naona bado milioni 600 inamuumiza sana
Kuzaliwa bongo tu ni stress tosha,,watanzania wote tukitazamana tunaonekana tunatumia mihadarati🤣🤣Wabongo tunapenda sana kupangia watu maisha.
Mihadarati kama anatumia si ananunua kaa pesa yake jama...
Kuna mtu hapo kasema eti mwamba ana stress sana 😂😂😂😂, bongo nyoso aisee. Mtu huishi nae hiyo kua na stress umeiona kwenye IYO
It dependsManeno ya mkosaji hayo, mwisho wa siku aliye kula kala.
Hapo waswahili wamekutana. Bahati nzuri wote wamejaaliwa vijembe. Basi watapigana vijembeee! Kazi kwa misukule ya mondi kumtetea.Mbon bado sana,hawa jamaa kitaumana sana na mbaya zaidi mmakonde sio kama Ali Kiba...hana dogo wala kubwa yeye jino kwa jino kwa lolote na vyovyote vile[emoji51][emoji51]
Acheni kumjaza uyo kibaSiku harmonize aki mdis Ally kiba tuna msahau , nayeye analijua hili ndio maana alipo pigwa dongo kwenye mediocre Alikausha kimya
Na wewe ni nani?Marioo ni Aslay alie changamka
Ok unauhakika gani kwamba dimond Hasniff unga ila anatumia dawa kama unazotaka wewe!?Protein powder ni supplements mara nyingi zinakuwa ni Whey Protein...wanaotumia wanaziweka kwenye vinywaji kama maziwa au maji wakienda Gym ili kujenga mwili, mbadala wake ni kupiga menu ya kufa mtu, ndio wale unakuta mtu anakula kuku mzima portion 2, mayai 10 etc. Ili kupata kiwango cha protein cha kutosha kwa siku, hiyo protein huwa haina kilevi chochote...nyingine huwa zipo kwenye formula za vyakula vya watoto kama lactogenView attachment 2013250