jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Inaonekana hasa sema tu ana ela huwezi kuona moja kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata aliyezipokea kazinunulia ngadaMhh mmakonde naona bado milioni 600 inamuumiza sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu huu lol. Mashabiki wa WCB watasonya na kukunja sura lol.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo waswahili wamekutana. Bahati nzuri wote wamejaaliwa vijembe. Basi watapigana vijembeee! Kazi kwa misukule ya mondi kumtetea.
Unga ni albadiri ya kihindi, ukitumia tu umekwisha umejiroga mwenyewe.Kiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Kumbe ni albadiri😬Unga ni albadiri ya kihindi, ukitumia tu umekwisha umejiroga mwenyewe.
Kwa ambao ni watu wake wa karibu na kama wanampenda basi hizo safari za Marekani badala ya kununuwa saa za bei mbaya hizo pesa abadilishe damu hospitali atate damu fresh ndio salama yake, otherwise atabaki historia alikuwaga.
Yaani🤣🤣🤣🤣Wabongo tunapenda sana kupangia watu maisha.
Mihadarati kama anatumia si ananunua kaa pesa yake jama...
Kuna mtu hapo kasema eti mwamba ana stress sana 😂😂😂😂, bongo nyoso aisee. Mtu huishi nae hiyo kua na stress umeiona kwenye IYO
True wasanii ambao hawana mbwembwe wanaishi vizuri tena unakuta wanatengeneza pesa kuliko hao wenye mbwembwe mfano navykenzo, weusi nkYah wengi ni maigizo yani life style yao inawaponza maana mwisho wa siku hawataki kukubaliana na hali ndo kujiingiza kwny kutumia dawa za kulevya au kuvuta mabangi
Unaongea husiyoyajua ata kidogo week kadhaa nimekutana na huyo rommy jones akibwea mbele ya macho yangu bila aibu na hii tabia watoto wa mbezi beach ndio wameanza kama fashion in addition rate ya watumiaji unga inavyoongezeka ndivyo pia rate ya matukio na ushoga unaongezeka pia with that said kuna uwezekano mkubwa sana Diamond pia kutumia.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Yes ila kuna waja nimeandika wanabisha kwa kumuangalia unaweza kujua anapitia kipindi gani
Kwa sisi wazoefu, ukimtazana Diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.
Ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.
Yani picha za Instagram zinatudanganya sana nilimuona Dimond live nilisikitika kabisa aiseee. Na Harmonise ndo akivaa kaptura ana makovu kama alipigana world war. Ila ndo hivyo hivyo vitu ni too personal
Je umesikia chawa wa Diamond vile huwa wanawasakama opponents wa mondi. Na ni wazi Diamond yuko nyuma yao kwa kuwaagiza moja kwa moja au anafurahia wanachofanya. Diamond angalia hata baby mamaz wake akiachana nao huwa hatoki mbele yeye ila chawa wake watamsakama huyo mwanamke mpaka atamani kujinyonga huko aliko. Kama angekua hataki au hawatumi angekua anawakataza nani ambaye angeruhusu mama mtoto wake kusemwa vibaya na watu wako wa karibu kama sio wewe unawatuma.Ila tuwe wakweli Harmo anampigaga sana vijembe Dai hata kwenye nyimbo zake..kama Dai amejibu au ameongea recently ni sababu kachoka. Amekaa kimya muda mrefu sana huo ndio ukweli.
Sasa labda Harmo kaumia zaidi ndo povu lote hilo limemtoka..mi nahisi huyu alikuwa anatafuta sababu ajibiwe ili afunguke yaliyokuwa moyoni mwake[emoji119]
Grade A ni 100euros a gram na haupotezi hamu ya kula wala usingizi.Grade B ni 60euros a gram.Grade 3 ni 40euros a gram.Chini ya hapo ni takataka.Warning uvutaji wa unga OG ni hatari kwa uchumi wako kushinda afya yako.Hio grade A haina madhara?mtaalam naomba unielimishe
Chawa wapo tu best..kuna chawa wa Nick Minaj kazi yao kudiss other female rappers..kuna Bey Hives matusi kama yote..hawaagizwi ni ujinga ujinga tu mtu unaweza kusema wanalipwa ila hamna kitu.Je umesikia chawa wa Diamond vile huwa wanawasakama opponents wa mondi. Na ni wazi Diamond yuko nyuma yao kwa kuwaagiza moja kwa moja au anafurahia wanachofanya. Diamond angalia hata baby mamaz wake akiachana nao huwa hatoki mbele yeye ila chawa wake watamsakama huyo mwanamke mpaka atamani kujinyonga huko aliko. Kama angekua hataki au hawatumi angekua anawakataza nani ambaye angeruhusu mama mtoto wake kusemwa vibaya na watu wako wa karibu kama sio wewe unawatuma.
Kwahiyo kwenye swala la kuwasema wenzie Diamond anatumia watu wake yaani yeye akitoka mbele kuongea ujue anaona anazidiwa au anataka iwe kiki yake. Na ndio kitu Harmonize kinamkera kama umesikiliza ile interview yake. Kwanini watu wa WCB wanamsema sana hamuachi afanye mambo yake kwa amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda anazimiaga bangi zake hahaa jokes