Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Hata akiwa mtumiaji ni yeye na maisha yake..atajijua mwenyewe
 
Chawa wapo tu best..kuna chawa wa Nick Minaj kazi yao kudiss other female rappers..kuna Bey Hives matusi kama yote..hawaagizwi ni ujinga ujinga tu mtu unaweza kusema wanalipwa ila hamna kitu.
Nimekutolea mfano wa baby mamaz zake. Halafu hiyo Marekani sio bongo. Chawa wa mbongo anataka apewe hela au apate support flani. Hamna mtu ataruhusu mama watoto wake atukanwe. Tena wale chawa wanaongeaga mambo ya ndani kabisa kama hawaambiwi na Diamond wanayatoa wapi
 
Sasa huyo Dai ana hela gani ya kulipa hadi chawa? [emoji23][emoji23]

Mimi naona naongea na mtu mwenye timu yake hapa..na mimi ligi za timu siziwezi yani..
 
Sasa huyo Dai ana hela gani ya kulipa hadi chawa? [emoji23][emoji23]

Mimi naona naongea na mtu mwenye timu yake hapa..na mimi ligi za timu siziwezi yani..
Mimi naona naongea na mtu anayesoma kujibu sio kuelewa. Bye.
 
Hayo makovu ya harmonize ni sababu ya nini shosti?
madhara yapo palepale especially ukiji overdose. .

ila hii grade A ni pure powder. huwezi kuifananisha na yale matakataka wanayotumia mateja wachafu wapiga debe wanaopatikana kwenye vituo vya daladala.
 
Hakika kabisa yaan.
 
Kabisaa na analike kabisaa!!!
 
Wewe mtu anayetumia ngada humjui hata kwa kumuona? Wewe ukimuangalia Diamond huoni kabisa kuwa anatumia mihadarati???
Baada ya Ile interview ya Harmonize Jana 18 Nov 2021 nimeamua kumuomba Mungu ampige Diamond kwa huo unga mpaka afikre level ya Yule Jamaa wa "Home Alone". Yaani awe ni kulala Tu. Yaani anatesa vijana kwa kuwa hawajui watokee wapi. Ila Mungu kamuona Harmonize.
 
Daimond sura yake inaonesha anatumia na ni mtu mwenye Stress mno.
Abwiye unga mpaka afe kabisa mhuni huyu. Si ajabu ndiyo Moja ya wafadhili wa nganda. Ndiyo maana kama utaangalia kiundani hakumpenda JPM. Makonda alimtikisa Ila ikaishia hewani. Iko siku itajibu.
 
Kiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Yaani nataka awe kama zezeta kabisa. Na huenda ni mfadhili wa hiyo biashara
 
Hapa duniani hakuna kitu kibaya na chenye nuksi kama kumkataa baba yako au Mlezi wako, tena in public, hata uwe bilionea namba moja Africa.
Mkuu umenena. Na hii itamgharimu Sana Mkuu. Baba uliyemkojolea usiku na mchana. Akakubeba eti unakuja kumkana hadharani kwa dharau kabisa. Yaani huyo ndiyo Baba yake no matter what. Anguko linakuja.
 
Kila siku wao wanamtafuta kupitia chawa walionunuliwa simu za Tecno na bando. Wamemtukana Sana Harmonize. Ametoa Album juzi tu wakahaha wote. Uvumilivu Una mwisho. Walisema Sana akakaa kimya sasa amewajibu moja kwa Moja bila kufunga macho.
 
Hiyo nguvu unayotumia kumuombea diamond si ujiombee mwenyew mambo yako ya nyooke
 
Aaahh wapi. Kakuambia Nani Album imebuma? Hatafuti Kiki Ila mlitenga ugali ameweka mboga Safi juu. Tunasubiri wenye jukumu na simu za techno wanunuliwe bando waje kutapika. Chawa hao Ila ndiyo Harmonize hawamkuti tena dunia hii. Yuko mbali. Na Lebo itakua Tu. Hata huyo mla unga Mondi hakuanzia hapo alipo. Aliswagwa na Clouds akakomaa akatoka na yeye ameswaga wasanii wakajifia Ila Harmonize ametoboa. Na ndiyo maana walimbeza eti ukitoka WCB atakufa kimziki. Mbona hajafa mpaka Leo hii? Mtasubiri Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…