Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutolea mfano wa baby mamaz zake. Halafu hiyo Marekani sio bongo. Chawa wa mbongo anataka apewe hela au apate support flani. Hamna mtu ataruhusu mama watoto wake atukanwe. Tena wale chawa wanaongeaga mambo ya ndani kabisa kama hawaambiwi na Diamond wanayatoa wapiChawa wapo tu best..kuna chawa wa Nick Minaj kazi yao kudiss other female rappers..kuna Bey Hives matusi kama yote..hawaagizwi ni ujinga ujinga tu mtu unaweza kusema wanalipwa ila hamna kitu.
Sasa huyo Dai ana hela gani ya kulipa hadi chawa? [emoji23][emoji23]Nimekutolea mfano wa baby mamaz zake. Halafu hiyo Marekani sio bongo. Chawa wa mbongo anataka apewe hela au apate support flani. Hamna mtu ataruhusu mama watoto wake atukanwe. Tena wale chawa wanaongeaga mambo ya ndani kabisa kama hawaambiwi na Diamond wanayatoa wapi
Mimi naona naongea na mtu anayesoma kujibu sio kuelewa. Bye.Sasa huyo Dai ana hela gani ya kulipa hadi chawa? [emoji23][emoji23]
Mimi naona naongea na mtu mwenye timu yake hapa..na mimi ligi za timu siziwezi yani..
madhara yapo palepale especially ukiji overdose. .Hayo makovu ya harmonize ni sababu ya nini shosti?
Teh hayaMimi naona naongea na mtu anayesoma kujibu sio kuelewa. Bye.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo makovu ya harmonize ni sababu ya nini shosti?
Hakika kabisa yaan.Je umesikia chawa wa Diamond vile huwa wanawasakama opponents wa mondi. Na ni wazi Diamond yuko nyuma yao kwa kuwaagiza moja kwa moja au anafurahia wanachofanya. Diamond angalia hata baby mamaz wake akiachana nao huwa hatoki mbele yeye ila chawa wake watamsakama huyo mwanamke mpaka atamani kujinyonga huko aliko. Kama angekua hataki au hawatumi angekua anawakataza nani ambaye angeruhusu mama mtoto wake kusemwa vibaya na watu wako wa karibu kama sio wewe unawatuma.
Kwahiyo kwenye swala la kuwasema wenzie Diamond anatumia watu wake yaani yeye akitoka mbele kuongea ujue anaona anazidiwa au anataka iwe kiki yake. Na ndio kitu Harmonize kinamkera kama umesikiliza ile interview yake. Kwanini watu wa WCB wanamsema sana hamuachi afanye mambo yake kwa amani.
Labda ngomaAngalia picha za Diamond akiwa SA amekonda balaa labda kuna ukweli.
Hizo bei mbona umegonga mle mle ,sina imani na wewe utakuwa dealerGrade A ni 100euros a gram na haupotezi hamu ya kula wala usingizi.Grade B ni 60euros a gram.Grade 3 ni 40euros a gram.Chini ya hapo ni takataka.Warning uvutaji wa unga OG ni hatari kwa uchumi wako kushinda afya yako.
Kabisaa na analike kabisaa!!!Je umesikia chawa wa Diamond vile huwa wanawasakama opponents wa mondi. Na ni wazi Diamond yuko nyuma yao kwa kuwaagiza moja kwa moja au anafurahia wanachofanya. Diamond angalia hata baby mamaz wake akiachana nao huwa hatoki mbele yeye ila chawa wake watamsakama huyo mwanamke mpaka atamani kujinyonga huko aliko. Kama angekua hataki au
I was a dealer back then na links bado ninazo nyingi tu japokuwa nilishaacha.Hizo bei mbona umegonga mle mle ,sina imani na wewe utakuwa dealer
Baada ya Ile interview ya Harmonize Jana 18 Nov 2021 nimeamua kumuomba Mungu ampige Diamond kwa huo unga mpaka afikre level ya Yule Jamaa wa "Home Alone". Yaani awe ni kulala Tu. Yaani anatesa vijana kwa kuwa hawajui watokee wapi. Ila Mungu kamuona Harmonize.Wewe mtu anayetumia ngada humjui hata kwa kumuona? Wewe ukimuangalia Diamond huoni kabisa kuwa anatumia mihadarati???
Abwiye unga mpaka afe kabisa mhuni huyu. Si ajabu ndiyo Moja ya wafadhili wa nganda. Ndiyo maana kama utaangalia kiundani hakumpenda JPM. Makonda alimtikisa Ila ikaishia hewani. Iko siku itajibu.Daimond sura yake inaonesha anatumia na ni mtu mwenye Stress mno.
Yaani nataka awe kama zezeta kabisa. Na huenda ni mfadhili wa hiyo biasharaKiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Mkuu umenena. Na hii itamgharimu Sana Mkuu. Baba uliyemkojolea usiku na mchana. Akakubeba eti unakuja kumkana hadharani kwa dharau kabisa. Yaani huyo ndiyo Baba yake no matter what. Anguko linakuja.Hapa duniani hakuna kitu kibaya na chenye nuksi kama kumkataa baba yako au Mlezi wako, tena in public, hata uwe bilionea namba moja Africa.
Kila siku wao wanamtafuta kupitia chawa walionunuliwa simu za Tecno na bando. Wamemtukana Sana Harmonize. Ametoa Album juzi tu wakahaha wote. Uvumilivu Una mwisho. Walisema Sana akakaa kimya sasa amewajibu moja kwa Moja bila kufunga macho.Harmonize ajifunze kuandika, jamaa ana uandishi m'bovu sana.
Hata katika captions zake kwenye mitandao ya kijamii uandishi wake wa ajabu ajabu.
Bado ana element za kishamba.
Mwanaume umeshatoka na kuamua kujitafutia ya nini kuanza kufuatana na mwanaume mwenzio kukesha kuandikiana upuuzi.
Suala la mtu kutumia unga ni starehe yake kama zilivyo starehe zingine kuanza kufuatiliana kuandikiana kwa status na insta story huu ni utoto.
Mwanaume kuwa na element za kike kutupiana maneno siyo ishara nzuri hata kidogo.
Zaidi ya yote ajifunze kuandika na amtafute Ras Simba amnoe kidogo lugha ya malkia ambayo nayo anavuruga sana.
Hiyo nguvu unayotumia kumuombea diamond si ujiombee mwenyew mambo yako ya nyookeBaada ya Ile interview ya Harmonize Jana 18 Nov 2021 nimeamua kumuomba Mungu ampige Diamond kwa huo unga mpaka afikre level ya Yule Jamaa wa "Home Alone". Yaani awe ni kulala Tu. Yaani anatesa vijana kwa kuwa hawajui watokee wapi. Ila Mungu kamuona Harmonize.
Aaahh wapi. Kakuambia Nani Album imebuma? Hatafuti Kiki Ila mlitenga ugali ameweka mboga Safi juu. Tunasubiri wenye jukumu na simu za techno wanunuliwe bando waje kutapika. Chawa hao Ila ndiyo Harmonize hawamkuti tena dunia hii. Yuko mbali. Na Lebo itakua Tu. Hata huyo mla unga Mondi hakuanzia hapo alipo. Aliswagwa na Clouds akakomaa akatoka na yeye ameswaga wasanii wakajifia Ila Harmonize ametoboa. Na ndiyo maana walimbeza eti ukitoka WCB atakufa kimziki. Mbona hajafa mpaka Leo hii? Mtasubiri Sana.KUNA MTU ALIDHANI KWAMBA AKITOKA WCB NA KUANZISHA LEBO YAKE ATAKUWA TAJIRI KAMA MWENZIE,KUENDESHA LEBO SIO KAMA KUENDESHA SHAMBA LA KOROSHO NA USIONE MTU ANAFANYA HIVI UKAJUA NA WEWE UTAWEZA,LAZIMA UDATE
KUNA MTU ALITOA ALBUM KARIBUNI AMBAYO KWA NAMNA MOJA NA NYINGINE HAIJAFANYA POA KABISA KATIKA SOKO LA KIDIJITARI YANI DIGITAL PLATFORMS.MWISHO WA SIKU ANAANZA KUTAFUTA KIKI
HAKUNA KITU KINAUMA KAMA KUMSEMA MTU AMBAYE HAKUJIBU,INAUMIZA SANA