The Undisputed
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 330
Muda useme wapi tumia ata akili yako robo basi au na ww unalipia bukubuku za app, kama anatumia, je ile energy ya kwenye stage huwa anaipata wapi. Mtu anasafiri mara kwa mara alaf umshindanishe na wasanii ambao wanazurula kila sikuMuda utasema mkuu. Usijichoshe kutetea.
Hali ni tete kvp sasa, em thibitisha kuwa hali ni teteDiamond ni kweli anatumia unga. Alikuwa anatumia grade one alidanganywa kuwa haina madhara. Matokeo yake. mieazi ya hivi karibuni Hali ni Tete.
Yani aletewe unga na giggy labda unga wa ngano,unga unauzwa kwa grade unaletewa na muuzajiSijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
Kwa muonekano wake wa sasa naamini,siku ile ameenda kwenye tamasha la yanga jangwani alikua bwiiiDiamond ni kweli anatumia unga. Alikuwa anatumia grade one alidanganywa kuwa haina madhara. Matokeo yake. mieazi ya hivi karibuni Hali ni Tete.
Kwetu ujue, nawaza yale mahindi ya vijalalani ya kuchoma aise.Meno kama mahindi ya ifakara
Wewe ni mke wa Diamond? Kwanini unajipa kazi ya kumtetea mtu ambaye dalili zinaonyesha hayuko sawa? Unadhani watu wote ni wapuuzi kumsikiliza Mange bila kuchanganya na akili zao? Nakusisitiza tena kuwa acha tujipe muda. Kama sio kweli itajulikana. Kama ni energy ya jukwaani hata Bobby Brown na Whitney Houston walikuwa nazo za kutosha. Diamond amesafiri kumzidi Whitney? Diamond ana madili mengi kuliko Americans?Muda useme wapi tumia ata akili yako robo basi au na ww unalipia bukubuku za app, kama anatumia, je ile energy ya kwenye stage huwa anaipata wapi. Mtu anasafiri mara kwa mara alaf umshindanishe na wasanii ambao wanazurula kila siku
Je ww ni hawara wa Diamond mbona unajipa kazi ya kumchukia mtu asiye kufahamu. Whitney Houston alikuwa ana energy km ya Diamond jukwaani au yy ilikuwa ni kuimba zaidi, huyo baby brown mwisho wake uliona alivyokuwa hadi kulazwa kwamba alianza kudhoofika muda tu. Ss unamsikiliza Mange kasema ni mama ako kwamba akisema kitu ni sheria, mbali na kutoa bukubuku za app umetoa hadi ubongo wako kuwa kifikra kwanza hili uweze kudadavua mambo maana ata hujui madhara ya mihadarati kwenye mwiliWewe ni mke wa Diamond? Kwanini unajipa kazi ya kumtetea mtu ambaye dalili zinaonyesha hayuko sawa? Unadhani watu wote ni wapuuzi kumsikiliza Mange bila kuchanganya na akili zao? Nakusisitiza tena kuwa acha tujipe muda. Kama sio kweli itajulikana. Kama ni energy ya jukwaani hata Bobby Brown na Whitney Houston walikuwa nazo za kutosha. Diamond amesafiri kumzidi Whitney? Diamond ana madili mengi kuliko Americans?
Hakika huwezi panda mnazi uaniMihadarati ilivyo kama pembe la ng'ombe mwisho wa siku atajulikana nani anatumia.
Whitney Houston walificha sana....lakini mwishowe????πππKiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Kuna jamaa walikuwa wanaitwa kappa mtu na mkewe....walikuwa mabilionea....unga uliwachapa..wakachapika...walikosa hata sehemu ya kulala...Mara ya mwisho....walionekana kwenye picha....wame egemeana migongo.Sasa unga ukimkolea, hayo mafanikio aliyofikia ataweza kuyasimamia kweli?!
Wewe jamaa una tatizo kubwa sana. Hauna tofauti na wale wazazi wanaopewa taarifa za uovu wa watoto wao na kuwatetea lakini mwisho wake ni majuto. Halafu elewa kuwa sisi wengine tuko mjini na tukisema tuongee kila kitu tunachojua kuhusu hawa watu maarufu itakuwa ni balaa. Hata huyo Mange kuna mengi sana hayajui. Kama unaishi hapa town fanya kuhamia mwananyamala, Kinondoni, Kijitonyama au Sinza ili ujue mabalaa ya hawa viumbe. Ni zaidi ya anayopost Mange.Je ww ni hawara wa Diamond mbona unajipa kazi ya kumchukia mtu asiye kufahamu. Whitney Houston alikuwa ana energy km ya Diamond jukwaani au yy ilikuwa ni kuimba zaidi, huyo baby brown mwisho wake uliona alivyokuwa hadi kulazwa kwamba alianza kudhoofika muda tu. Ss unamsikiliza Mange kasema ni mama ako kwamba akisema kitu ni sheria, mbali na kutoa bukubuku za app umetoa hadi ubongo wako kuwa kifikra kwanza hili uweze kudadavua mambo maana ata hujui madhara ya mihadarati kwenye mwili
Vizuri sasa ww wa mjini em tiririk uwe ukweli sasa hili mm km mzazi nielewe ni kwa namna gani mwanangu ana utovu wa nidhamu na sio kuanza kuimba ngonjeraWewe jamaa una tatizo kubwa sana. Hauna tofauti na wale wazazi wanaopewa taarifa za uovu wa watoto wao na kuwatetea lakini mwisho wake ni majuto. Halafu elewa kuwa sisi wengine tuko mjini na tukisema tuongee kila kitu tunachojua kuhusu hawa watu maarufu itakuwa ni balaa. Hata huyo Mange kuna mengi sana hayajui. Kama unaishi hapa town fanya kuhamia mwananyamala, Kinondoni, Kijitonyama au Sinza ili ujue mabalaa ya hawa viumbe. Ni zaidi ya anayopost Mange.
Kwa energy anayotumia diamond jukwaani siwezi kusema anatumia juzi tu hapa kapiga show masaa ma4 bila kupumzika Ruangwa , kuhusu tuhuma diamond kaanza kuhusishwa tangu 2015 sasa imepita miaka mingapi?Whitney Houston walificha sana....lakini mwishowe????πππ
HatujuiKwa energy anayotumia diamond jukwaani siwezi kusema anatumia juzi tu hapa kapiga show masaa ma4 bila kupumzika Ruangwa , kuhusu tuhuma diamond kaanza kuhusishwa tangu 2015 sasa imepita miaka mingapi?
Hoja wanazojenga ya Diamond anatumia madawa hazina mashiko kabisa mtu anakwambia diamond amekonda sasa najiuliza lini diamond alikuwa na mwili wa kunenepaDada ata ww kuna hali inaweza kukutokea katika mazingira fulani na walimwengu wakaunganisha chuki zao na kuamua kukuchafua. Mfano unaweza kujikuta ume tabasamu tu mwenyewe baada ya kukumbuka jambo ila mpita njia akakuona kwa vile hakupend akisema unaugua ukichaa utafanyaje? Mange hampend Diamond kwa vile vicenza vyake vilishindwa kuolewa naye so anatumia kila silaha kumchafua Diamond
Muwe mnaongeza akili zenu sio tu mnapokea kila kitu kwa Mage mwenzenu Yule ni mfanyabiashara anategemea buku buku zenu Ili AishiHatujui
Mi sina chuki na D kabisaa..nawala sina huo muda wa kumchukia..ila yasemwayo yapo mpendwa...kama alikua ameanza kidogo kidogo basi aache..nimeumia kama kweli atakaua anatumia kwa sbb ktk wasanii niliokua nawakubali kuwa na mafinikio yote ila hajaiga upumbavu wa madawa ni yy..Dada ata ww kuna hali inaweza kukutokea katika mazingira fulani na walimwengu wakaunganisha chuki zao na kuamua kukuchafua. Mfano unaweza kujikuta ume tabasamu tu mwenyewe baada ya kukumbuka jambo ila mpita njia akakuona kwa vile hakupend akisema unaugua ukichaa utafanyaje? Mange hampend Diamond kwa vile vicenza vyake vilishindwa kuolewa naye so anatumia kila silaha kumchafua Diamond
Ni mm wala usijali..mm ndo nimeitoa kwa Mange...na niwe muwazi tuu page ya Mange naipitia kila niwapo na bando..kuna ishu anazitoa na zinasaidia kuanzia siasa n.k japo na yy kama binadamu ana mapungufu yake kibaaoooo kama mm na wewe...kikubwa tumuombee Dimond iwe ni hearsay tuu isiwe kweli...Logically ni rahisi mtu kutumia madawa ya kukevya ilhali wote tunajua kuwa yanadhoofisha mwili na akili. Yaani Diamond atumie madawa ya kulevya lakini bado kibiashara na muziki akuwe lakini wasio tumia ndio washindwe kukua?
Diamond ni mwanamuziki,dancer, mfanyabiashara (mkurugenzi wa makampuni) na pia hakuumbwa kuwa na mwili mnene ukimcheki ukuwaji wake wa kimwili, nusu ya maisha yake ameyatumia kwenye stage kucheza na kuimba, kusafiri mara kwa mara na kusimamia kampuni zake (ana watu zaidi ya 100 anaowalipa mishahara) huo ubongo na mwili unavyochoka bado tu tunategemea Diamond anenepe kama harmonize?
Kuna mtu kasema "DADA MANGE AMETHIBITISHA" hakika watu wa design hii hawanaga akili kabisa na ndio hao wanao lipa bukubuku za app, sasa Mange anaishi na Diamond?