Logically ni rahisi mtu kutumia madawa ya kukevya ilhali wote tunajua kuwa yanadhoofisha mwili na akili. Yaani Diamond atumie madawa ya kulevya lakini bado kibiashara na muziki akuwe lakini wasio tumia ndio washindwe kukua?
Diamond ni mwanamuziki,dancer, mfanyabiashara (mkurugenzi wa makampuni) na pia hakuumbwa kuwa na mwili mnene ukimcheki ukuwaji wake wa kimwili, nusu ya maisha yake ameyatumia kwenye stage kucheza na kuimba, kusafiri mara kwa mara na kusimamia kampuni zake (ana watu zaidi ya 100 anaowalipa mishahara) huo ubongo na mwili unavyochoka bado tu tunategemea Diamond anenepe kama harmonize?
Kuna mtu kasema "DADA MANGE AMETHIBITISHA" hakika watu wa design hii hawanaga akili kabisa na ndio hao wanao lipa bukubuku za app, sasa Mange anaishi na Diamond?