Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Sijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
Yani aletewe unga na giggy labda unga wa ngano,unga unauzwa kwa grade unaletewa na muuzaji
 
Diamond ni kweli anatumia unga. Alikuwa anatumia grade one alidanganywa kuwa haina madhara. Matokeo yake. mieazi ya hivi karibuni Hali ni Tete.
Kwa muonekano wake wa sasa naamini,siku ile ameenda kwenye tamasha la yanga jangwani alikua bwiii
 
Muda useme wapi tumia ata akili yako robo basi au na ww unalipia bukubuku za app, kama anatumia, je ile energy ya kwenye stage huwa anaipata wapi. Mtu anasafiri mara kwa mara alaf umshindanishe na wasanii ambao wanazurula kila siku
Wewe ni mke wa Diamond? Kwanini unajipa kazi ya kumtetea mtu ambaye dalili zinaonyesha hayuko sawa? Unadhani watu wote ni wapuuzi kumsikiliza Mange bila kuchanganya na akili zao? Nakusisitiza tena kuwa acha tujipe muda. Kama sio kweli itajulikana. Kama ni energy ya jukwaani hata Bobby Brown na Whitney Houston walikuwa nazo za kutosha. Diamond amesafiri kumzidi Whitney? Diamond ana madili mengi kuliko Americans?
 
Je ww ni hawara wa Diamond mbona unajipa kazi ya kumchukia mtu asiye kufahamu. Whitney Houston alikuwa ana energy km ya Diamond jukwaani au yy ilikuwa ni kuimba zaidi, huyo baby brown mwisho wake uliona alivyokuwa hadi kulazwa kwamba alianza kudhoofika muda tu. Ss unamsikiliza Mange kasema ni mama ako kwamba akisema kitu ni sheria, mbali na kutoa bukubuku za app umetoa hadi ubongo wako kuwa kifikra kwanza hili uweze kudadavua mambo maana ata hujui madhara ya mihadarati kwenye mwili
 
Wewe jamaa una tatizo kubwa sana. Hauna tofauti na wale wazazi wanaopewa taarifa za uovu wa watoto wao na kuwatetea lakini mwisho wake ni majuto. Halafu elewa kuwa sisi wengine tuko mjini na tukisema tuongee kila kitu tunachojua kuhusu hawa watu maarufu itakuwa ni balaa. Hata huyo Mange kuna mengi sana hayajui. Kama unaishi hapa town fanya kuhamia mwananyamala, Kinondoni, Kijitonyama au Sinza ili ujue mabalaa ya hawa viumbe. Ni zaidi ya anayopost Mange.
 
Vizuri sasa ww wa mjini em tiririk uwe ukweli sasa hili mm km mzazi nielewe ni kwa namna gani mwanangu ana utovu wa nidhamu na sio kuanza kuimba ngonjera
 
Whitney Houston walificha sana....lakini mwishowe????🙄🙄🙄
Kwa energy anayotumia diamond jukwaani siwezi kusema anatumia juzi tu hapa kapiga show masaa ma4 bila kupumzika Ruangwa , kuhusu tuhuma diamond kaanza kuhusishwa tangu 2015 sasa imepita miaka mingapi?
 
Hatujui
 
Dada ata ww kuna hali inaweza kukutokea katika mazingira fulani na walimwengu wakaunganisha chuki zao na kuamua kukuchafua. Mfano unaweza kujikuta ume tabasamu tu mwenyewe baada ya kukumbuka jambo ila mpita njia akakuona kwa vile hakupend akisema unaugua ukichaa utafanyaje? Mange hampend Diamond kwa vile vicenza vyake vilishindwa kuolewa naye so anatumia kila silaha kumchafua Diamond
Hoja wanazojenga ya Diamond anatumia madawa hazina mashiko kabisa mtu anakwambia diamond amekonda sasa najiuliza lini diamond alikuwa na mwili wa kunenepa
 
Katomba sanaa mbususu , zimemkinai now katafuta starehe nyingine , wana nzengo wana m judge mhhhhhhh
 
Dada ata ww kuna hali inaweza kukutokea katika mazingira fulani na walimwengu wakaunganisha chuki zao na kuamua kukuchafua. Mfano unaweza kujikuta ume tabasamu tu mwenyewe baada ya kukumbuka jambo ila mpita njia akakuona kwa vile hakupend akisema unaugua ukichaa utafanyaje? Mange hampend Diamond kwa vile vicenza vyake vilishindwa kuolewa naye so anatumia kila silaha kumchafua Diamond
Mi sina chuki na D kabisaa..nawala sina huo muda wa kumchukia..ila yasemwayo yapo mpendwa...kama alikua ameanza kidogo kidogo basi aache..nimeumia kama kweli atakaua anatumia kwa sbb ktk wasanii niliokua nawakubali kuwa na mafinikio yote ila hajaiga upumbavu wa madawa ni yy..
 
Logically ni rahisi mtu kutumia madawa ya kukevya ilhali wote tunajua kuwa yanadhoofisha mwili na akili. Yaani Diamond atumie madawa ya kulevya lakini bado kibiashara na muziki akuwe lakini wasio tumia ndio washindwe kukua?

Diamond ni mwanamuziki,dancer, mfanyabiashara (mkurugenzi wa makampuni) na pia hakuumbwa kuwa na mwili mnene ukimcheki ukuwaji wake wa kimwili, nusu ya maisha yake ameyatumia kwenye stage kucheza na kuimba, kusafiri mara kwa mara na kusimamia kampuni zake (ana watu zaidi ya 100 anaowalipa mishahara) huo ubongo na mwili unavyochoka bado tu tunategemea Diamond anenepe kama harmonize?

Kuna mtu kasema "DADA MANGE AMETHIBITISHA" hakika watu wa design hii hawanaga akili kabisa na ndio hao wanao lipa bukubuku za app, sasa Mange anaishi na Diamond?
Ni mm wala usijali..mm ndo nimeitoa kwa Mange...na niwe muwazi tuu page ya Mange naipitia kila niwapo na bando..kuna ishu anazitoa na zinasaidia kuanzia siasa n.k japo na yy kama binadamu ana mapungufu yake kibaaoooo kama mm na wewe...kikubwa tumuombee Dimond iwe ni hearsay tuu isiwe kweli...
 
Back
Top Bottom