Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Facial expression za diamond saa ingine zinaonyesha anabwiaMhh mmakonde naona bado milioni 600 inamuumiza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Facial expression za diamond saa ingine zinaonyesha anabwiaMhh mmakonde naona bado milioni 600 inamuumiza sana
Hakuna habari iliyowahi kuja JF ikapita hivi hivi
Dogo anakula ngada plain kabisa
Muda utasema
Sawa mkuuAchana na hofu za namna hiyo wewe, kwahiyo hayo maneno yatamleta mraibu wa unga wa karihu yangu ama. Hiyo imani tu ndgu yangu kama ipo ipo tuu.
Masharti pamoja Na vitisho ndo vinavyomfanya atumie ili kujifarijiDaimond sura yake inaonesha anatumia na ni mtu mwenye Stress mno.
Watu wengi sahvi wanakula cha p#eleee wenyewe wanakuambia wanakula ile nyepesiMondi anatumia Ngada mi mwanetu Agosh amenambia kuwa ashakula naye live.Kumbuka Agosh alikuwaga anatembea na mamake Dangote kipindi bado wapo mwananyamala.
Mange hauzagi matango pori,akikupa kitu ni full vitamins.Da Mange pia kathibitisha n kweli, sijui tuamini lipi, mweeeeh
Ilikua mwaka Gani hiiMondi anatumia Ngada mi mwanetu Agosh amenambia kuwa ashakula naye live.Kumbuka Agosh alikuwaga anatembea na mamake Dangote kipindi bado wapo mwananyamala.
Huwa haiachi mtu salama itampalia tuKiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.
Me kuna bwege kala buku 10 yangu tu natamani niandike matusi kuanzia JANA hadi KESHO, M 600 nying kakaMhh mmakonde naona bado milioni 600 inamuumiza sana
Kwangu mimi maadam ana hela si mchezo hata angekula mavi poa tu. Ishu ni kwa mtu hatumii ngada halafu kachokaaaaaa hata cha mchana hajala anamlaumu tajiri anayekula ngada eti atapotea! Ahahahahah!!!Wewe mtu anayetumia ngada humjui hata kwa kumuona? Wewe ukimuangalia Diamond huoni kabisa kuwa anatumia mihadarati???