Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Mimi ni Tomasoo. Siamini mpaka niashuhudie kwa macho yangu au akamatwe, au soba. Ndio nitaanimi. Asio ni wivu tu. Kawazidi Wanamziki wote nchi kwa pesa kwa kila kitu. Kama tunabisha tender. TRA hesabu za huko.
 
Mondi anatumia Ngada mi mwanetu Agosh amenambia kuwa ashakula naye live.Kumbuka Agosh alikuwaga anatembea na mamake Dangote kipindi bado wapo mwananyamala.
 
Mondi anatumia Ngada mi mwanetu Agosh amenambia kuwa ashakula naye live.Kumbuka Agosh alikuwaga anatembea na mamake Dangote kipindi bado wapo mwananyamala.
Watu wengi sahvi wanakula cha p#eleee wenyewe wanakuambia wanakula ile nyepesi

Ova
 
Wewe mtu anayetumia ngada humjui hata kwa kumuona? Wewe ukimuangalia Diamond huoni kabisa kuwa anatumia mihadarati???
Kwangu mimi maadam ana hela si mchezo hata angekula mavi poa tu. Ishu ni kwa mtu hatumii ngada halafu kachokaaaaaa hata cha mchana hajala anamlaumu tajiri anayekula ngada eti atapotea! Ahahahahah!!!
 
Back
Top Bottom