Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati.

Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?

Asee
 
itafahamika, ipo siku.
 
Naona kama inakua kweli...the way ana behave kuna muda unamshangaa...any way kama kweli huwa halijifichi...
Huyu ni kitambo tu, kwa sasa pesa inafukia magepu, ila kwenye madawa ukishaingia kwenye 18 hata pesa huelemewa kama ilivyokuwa kwa Manji.
 
Hizi fununu zina miaka 3 ila mbona hatujaona zikiwa na effect kwake!?
Hata Mangwair alikuwa anatumia ,Kikosi cha Mizinga walitoa Wimbo wa Hiphop bila madawa mwaka 2007 katika video kuna bango liliwataja watumiaji wa madawa mmoja wapo alikuwa ngwair lakini hakuna mtu aliyewaamnini kama kweli ngwair alikuwa anatumia mpaka gari ilivyokuja kuwaka 2012 na saudi ikabadilika lakini ngumu kumjua maana alikuwa anatoa mapini na interview anafanya fresh tu.

Mondi Mpunga anao na kama kuvuta atakuwa anavuta vyenye high quality ,sijajua kitu gani hasa kinachomfanya avute hayo madude ,wengi wanajidanganya kwamba ukitumia hayo madude "Afile munu Show show mandonga mtu kazi hadi inawaka moto".

1738012032772.png
 
Huyu ni kitambo tu, kwa sasa pesa inafukia magepu, ila kwenye madawa ukishaingia kwenye 18 hata pesa huelemewa kama ilivyokuwa kwa Manji.
Yanii daah sijui nani huwa anawadanganya
 
Hata Mangwair alikuwa anatumia ,Kikosi cha Mizinga walitoa Wimbo wa Hiphop bila madawa mwaka 2007 katika video kuna bango liliwataja watumiaji wa madawa mmoja wapo alikuwa ngwair lakini hakuna mtu aliyewaamnini kama kweli ngwair alikuwa anatumia mpaka gari ilivyokuja kuwaka 2012 na saudi ikabadilika lakini ngumu kumjua maana alikuwa anatoa mapini na interview anafanya fresh tu.

Mondi Mpunga anao na kama kuvuta atakuwa anavuta vyenye high quality ,sijajua kitu gani hasa kinachomfanya avute hayo madude ,wengi wanajidanganya kwamba ukitumia hayo madude "Afile munu Show show mandonga mtu kazi hadi inawaka moto".
Alisema Gigy huwa wanabwia wote ndo wanafanya maloveee....kabla Zuchu hajamkazia Gigy asifike maeneo alipo bwana ake...
 
Back
Top Bottom