Hata Mangwair alikuwa anatumia ,Kikosi cha Mizinga walitoa Wimbo wa Hiphop bila madawa mwaka 2007 katika video kuna bango liliwataja watumiaji wa madawa mmoja wapo alikuwa ngwair lakini hakuna mtu aliyewaamnini kama kweli ngwair alikuwa anatumia mpaka gari ilivyokuja kuwaka 2012 na saudi ikabadilika lakini ngumu kumjua maana alikuwa anatoa mapini na interview anafanya fresh tu.
Mondi Mpunga anao na kama kuvuta atakuwa anavuta vyenye high quality ,sijajua kitu gani hasa kinachomfanya avute hayo madude ,wengi wanajidanganya kwamba ukitumia hayo madude "Afile munu Show show mandonga mtu kazi hadi inawaka moto".