Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kauli za watu wavivu wanaotaka kutuonesha kuwa wako serious na maisha. Kiukweli ni watu wa kijipa moyo tu.

Eti get rich or die trying😆😆
Wewe mtoto wa Mama huwezi kujua struggle za life,mabadiliko yeyote,mapambano yeyote huanza na fikra,kisha mipango,halafu self confidence,

Mimi nakomaa na box na life linaenda sawia kabisa,wewe endelea kusubiri ugali wa shikamoo hapo kwa Bi mkubwa.
 
Katka kuishi kwangu kuna kitu umekiongezea hapo...
 
Shafineyz
 
Ndio maana nimeweka Picha zake tofauti, yani usione mtu yuko hivyo ndio ukadhani amefanikiwa.

Halafu huwezi kumuona na demu, sasa good time lote bila mrembo wa kukufanyia massage pembeni kuna raha gani?
Mm pia nilishangaa mbona jamaa habandui bandui bongo dadaz
 
Sasa mbona huwa hauna akili kama ni mtu mzima hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…