The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wewe mtoto wa Mama huwezi kujua struggle za life,mabadiliko yeyote,mapambano yeyote huanza na fikra,kisha mipango,halafu self confidence,Ni kauli za watu wavivu wanaotaka kutuonesha kuwa wako serious na maisha. Kiukweli ni watu wa kijipa moyo tu.
Eti get rich or die trying😆😆
Mimi nakomaa na box na life linaenda sawia kabisa,wewe endelea kusubiri ugali wa shikamoo hapo kwa Bi mkubwa.