Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #301
Nawajuwa matapeli wa style nyingi tu, ila siyo lazima tuwe na mtazamo sawa.tapeli tu huyo shukuru mungu kwamba ulikuwa unaenda kulizwa so amekuepusha vipi unavyoona hapo si vyake ni vya kukodi na show off ili kuvutia watu wa kuwapiga acha nikae tu kimya
Hayo ni mawazo yako, una haki ya kuamini vile unajisikia.Wanase uko PM kiongozi.
Dah ww Jamaa unadharau sana
Dah punguza basi matus mzeeItakua we ni mjinga kama unaona nilichoandika ni dharau...
🤣😂🤣😂Sasa huyo ana matatizo ya akili maana watazunguka kote Ila Mwisho na yeye pia lazima ahusike kwenye KUCHINJWA sababu jamaa mwishoni watamwambia tumeonja damu zote ila sasa ni wakati wa kuonja damu yako haya geukia kibra
404: Page Not Found
Ha ha ha.Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?
Mkuu..anatumia jina gani..Huyu jamaa ni mbobezi kwenye elimu ya Siri Kama alivyokuwa shehe Yahaya
Mkuu..anatumia jina gani..
Nataka kusikiliza hiyo elimu .. ..
Mtu mwenye pesa na ukwasi mwingi huwa hana muda wa kujitangaza kwamba ana pesa...
By the way nina wasiwasi huyo bwana mdogo ni tapeli tu, nikifanya tathmini naona hayo magari ni ya kawaida(old fashion), kuna kitablet fulani hapo cha HP nakiona hakifiki hata milioni 1, mguuni kavaa moka za mpare mtundu bei haifiki hata laki 1...
Hahahaha,haya maisha hayana fair kabisa na hapo unakuta bado Nina madeni juu ya hyo nyumbaAf kuna wewe unaejenga miaka 6 nyumba ya chumba tatu na ukumbi na umahamia ikiwa haijachapiwa
Ahahahah na umeme ujavutia chini ujasakafia choo cha nje mlango umeweka gunia la mkaa dah haya maisha hapana.Hahahaha,haya maisha hayana fair kabisa na hapo unakuta bado Nina madeni juu ya hyo nyumba
Wacha uoga matola, mm naona umeandika hapo DR na PHD nkajua unajua aisee kumbe hamna kitu. picha za mtu anaepiga na magari hivyo ndio inamaanisha anatoa kafara ?? wengine nimadalali aisee kila akiamka andinga mpya anaizungusha anataftia mteja wewe utakaa hapo na umaskini wako na kuwaza wenzio niwachawi kumbe wanapiga zao kazi huku wanaenjoy. Wewe endelea kusubiria shida zako ziishe mkuu ipo siku zitaisha usijiongeze ungoje zifike mwisho.Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Kwani akitoa kafara, fedha zinatoka Benki Kuu ya Tanzania zinaingia mfukoni mwake?Sijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc
Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara
Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
Point ya kweli na imenigusa sana.Hizi nchi za kusadikika ambazo gap ya kipato ni kubwa ndio kuna watu wanahangaika na utajiri kwa sababu ya dhiki walizonazo, ila first world kila anayefanya kazi anapata mahitaji yake ya msingi watu hawahangaiki na swala la utajiri.
Utajiri unawasumbuwa watu maskini ili waondokane na dhiki.