Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Attachments

  • Screenshot_20230706-190703.png
    Screenshot_20230706-190703.png
    335.2 KB · Views: 13
Mtu mwenye pesa na ukwasi mwingi huwa hana muda wa kujitangaza kwamba ana pesa...

By the way nina wasiwasi huyo bwana mdogo ni tapeli tu, nikifanya tathmini naona hayo magari ni ya kawaida(old fashion), kuna kitablet fulani hapo cha HP nakiona hakifiki hata milioni 1, mguuni kavaa moka za mpare mtundu bei haifiki hata laki 1...
 

Attachments

  • img_1_1688617977268.jpg
    img_1_1688617977268.jpg
    14 KB · Views: 14
Hahahaha,haya maisha hayana fair kabisa na hapo unakuta bado Nina madeni juu ya hyo nyumba
Ahahahah na umeme ujavutia chini ujasakafia choo cha nje mlango umeweka gunia la mkaa dah haya maisha hapana.

Nakumbuka jirani yetu alijenga kwa muda mfupi sana narudi likizo kutoka shule nyumb imeisha watu hawajaamia nikaenda kupiga picha pale
 
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.

Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.

Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Wacha uoga matola, mm naona umeandika hapo DR na PHD nkajua unajua aisee kumbe hamna kitu. picha za mtu anaepiga na magari hivyo ndio inamaanisha anatoa kafara ?? wengine nimadalali aisee kila akiamka andinga mpya anaizungusha anataftia mteja wewe utakaa hapo na umaskini wako na kuwaza wenzio niwachawi kumbe wanapiga zao kazi huku wanaenjoy. Wewe endelea kusubiria shida zako ziishe mkuu ipo siku zitaisha usijiongeze ungoje zifike mwisho.
 
Sijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc

Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara

Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
Kwani akitoa kafara, fedha zinatoka Benki Kuu ya Tanzania zinaingia mfukoni mwake?

Sijawahi elewa mada za aina hii!? Bila kufanya kazi, unapataje fedha??
 
Vijama wanasema wapo tayari kwa lolote ila si kufa masikin wao na kizazi chao ilaaa utajiri wa maagano ya shetani hujawahi kuwa na mwisho mzuri.
Tuna ving vya kuandika kuasa watu ila kwa maneno machache niseme hivi
"Shetani akamchukua Yesu mpaka kwenye mnara akamwambia ukinisujudia mali zote unazoziona zita kuwa zao" samahan kama ntakuwa nmenukuu vibaya.

Shetan anaweza kukupa vyote ila kamwe havitakuacha na mwisho mwema kwako ana kwa jamaa zako.
 
Hizi nchi za kusadikika ambazo gap ya kipato ni kubwa ndio kuna watu wanahangaika na utajiri kwa sababu ya dhiki walizonazo, ila first world kila anayefanya kazi anapata mahitaji yake ya msingi watu hawahangaiki na swala la utajiri.

Utajiri unawasumbuwa watu maskini ili waondokane na dhiki.
Point ya kweli na imenigusa sana.
 
Back
Top Bottom