Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

am back mpwa niko mkesha nachat huku pemben sina aman kuna sura za hatare sijui wameambiwa leo mwisho wa mwezi kha waniache njikeshee mie
Mpwa nimejiconnect live na TV Arise and Shine tangu Jana saa mbili usiku mpaka sasa, napokea upako wa Apostle Bulldozer.

Hakika huyu jamaa ni taasisi.
 
You are certified Fool.
 
Kwani akitoa kafara, fedha zinatoka Benki Kuu ya Tanzania zinaingia mfukoni mwake?

Sijawahi elewa mada za aina hii!? Bila kufanya kazi, unapataje fedha??
Kuelewa ni kwa ajili ya watu wenye akili, si kwa ajili ya kila mjinga.
 
Kabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakini
Kabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakini
Lipo wazi kuna clip moja aliwahi post insta yake akiwa na jamaa ake wametoka zika jamaa alicomment tumehuzunika leo ila kesho ni siku ya furaha
 
Nakuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…