Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa nimejiconnect live na TV Arise and Shine tangu Jana saa mbili usiku mpaka sasa, napokea upako wa Apostle Bulldozer.am back mpwa niko mkesha nachat huku pemben sina aman kuna sura za hatare sijui wameambiwa leo mwisho wa mwezi kha waniache njikeshee mie
You are certified Fool.Wacha uoga matola, mm naona umeandika hapo DR na PHD nkajua unajua aisee kumbe hamna kitu. picha za mtu anaepiga na magari hivyo ndio inamaanisha anatoa kafara ?? wengine nimadalali aisee kila akiamka andinga mpya anaizungusha anataftia mteja wewe utakaa hapo na umaskini wako na kuwaza wenzio niwachawi kumbe wanapiga zao kazi huku wanaenjoy. Wewe endelea kusubiria shida zako ziishe mkuu ipo siku zitaisha usijiongeze ungoje zifike mwisho.
Kuelewa ni kwa ajili ya watu wenye akili, si kwa ajili ya kila mjinga.Kwani akitoa kafara, fedha zinatoka Benki Kuu ya Tanzania zinaingia mfukoni mwake?
Sijawahi elewa mada za aina hii!? Bila kufanya kazi, unapataje fedha??
Kumbe wengi tunamsikilizaMpwa nimejiconnect live na TV Arise and Shine tangu Jana saa mbili usiku mpaka sasa, napokea upako wa Apostle Bulldozer.
Hakika huyu jamaa ni taasisi.
Watu wenye akili wanamuelewa sana Bulldozer, huyu ni Mtumishi wa Mungu hakika.Kumbe wengi tunamsikiliza
Alitoa kafara la maana yule jamaa na alikuwa na ukwasi wa kufa mtu.Hahahaha kuna yule wa sijui zambia sijui zimbabwe alikua anaitwa GINIMBI alishafariki kimiujiza ujiza japo kwa mtu asiye na macho ya rohoni ataona ile ni ajali ya kawaida.ile ni pure occult.
Kabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakiniAlitoa kafara la maana yule jamaa na alikuwa na ukwasi wa kufa mtu.
Kabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakini
Lipo wazi kuna clip moja aliwahi post insta yake akiwa na jamaa ake wametoka zika jamaa alicomment tumehuzunika leo ila kesho ni siku ya furahaKabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakini
Nakuelewa sana mkuuNi occult powers, achana na hayo maisha, nimeweka huu Uzi kuwatia watu moyo wapambane shida zina mwisho, lakini wasiingie kwenye hizi occult power.
Bila kukuficha hizi huwa zinahitaji kafara ya damu na siyo Mara moja, na ukiingia hutoki mwisho wa siku utatamani maisha yako ya zamani ya kuungaunga lakini maisha yanakwenda.