Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Wacha uoga matola, mm naona umeandika hapo DR na PHD nkajua unajua aisee kumbe hamna kitu. picha za mtu anaepiga na magari hivyo ndio inamaanisha anatoa kafara ?? wengine nimadalali aisee kila akiamka andinga mpya anaizungusha anataftia mteja wewe utakaa hapo na umaskini wako na kuwaza wenzio niwachawi kumbe wanapiga zao kazi huku wanaenjoy. Wewe endelea kusubiria shida zako ziishe mkuu ipo siku zitaisha usijiongeze ungoje zifike mwisho.
You are certified Fool.
 
Kwani akitoa kafara, fedha zinatoka Benki Kuu ya Tanzania zinaingia mfukoni mwake?

Sijawahi elewa mada za aina hii!? Bila kufanya kazi, unapataje fedha??
Kuelewa ni kwa ajili ya watu wenye akili, si kwa ajili ya kila mjinga.
 
Kabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakini
Kabisa kabisa! Ila mwingine asiyeona anaweza dhani ni kitu cha kawaida.. ule ukwasi ulikua na walakini
Lipo wazi kuna clip moja aliwahi post insta yake akiwa na jamaa ake wametoka zika jamaa alicomment tumehuzunika leo ila kesho ni siku ya furaha
 
Ni occult powers, achana na hayo maisha, nimeweka huu Uzi kuwatia watu moyo wapambane shida zina mwisho, lakini wasiingie kwenye hizi occult power.

Bila kukuficha hizi huwa zinahitaji kafara ya damu na siyo Mara moja, na ukiingia hutoki mwisho wa siku utatamani maisha yako ya zamani ya kuungaunga lakini maisha yanakwenda.
Nakuelewa sana mkuu
 
Back
Top Bottom