Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Nimekwambia siyo yeye unalazimisha vipi, huyu Mimi namjuwa personal ndio maana sijaandika jina lake Nina makusudi ya kutokuandika jina lake
Mkuu Dr Matola PhD kama itakupendeza ungemwaga dondoo kidogo.. wanasema kweli inawaweka watu huru. Hapo Picha zimewapa watu shauku ya kutaka kujua, wengine watakuja potosha humu kupitia hizo hizo picha kama huyo ambae anasema anaitwa nani nani sijui don
 
Sijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc

Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara

Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
labda hayo tajwa yapo garage
 
Doctor Shafiiii ze Don 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…