Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Mkuu mi nmemuona physical au alikuwa copy akeNimekwambia siyo yeye unalazimisha vipi, huyu Mimi namjuwa personal ndio maana sijaandika jina lake Nina makusudi ya kutokuandika jina lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi nmemuona physical au alikuwa copy akeNimekwambia siyo yeye unalazimisha vipi, huyu Mimi namjuwa personal ndio maana sijaandika jina lake Nina makusudi ya kutokuandika jina lake
Umemaliza mkuu,ni wachache sana watakaokuelewa.Utajiri haupo kwa ajili ya watu waoga
Wewe hiyo Avatar yako pia inamaanisha hilo kono huingia wapi?Hiyo Avatar yako tu inaongea mengi, am done with you.
Kwenye maisha hakuna neutral shem 😊Kama naamini hapa...
Najua maneno yangu yamekuchoma na ujitafakari,umri wako hauendani na ulivyo humu,unatukana watu kisha wewe unataka uheshimiwe!!Hiyo Avatar yako tu inaongea mengi, am done with you.
Uta late sasaTafuta pesa huku ukimtegemea Mungu hakika utatoboa tu .
Unique Flower 😊Huyo anaitwa Shafiz ze don dogo anatoa utajiri kwa anaetaka kuzijua Siri za dunia
🤣 🤣 🤣 🤣 siachi ng'oBrotherhood of Death ukijiunga Nyetto unaacha faster.
Mkuu Dr Matola PhD kama itakupendeza ungemwaga dondoo kidogo.. wanasema kweli inawaweka watu huru. Hapo Picha zimewapa watu shauku ya kutaka kujua, wengine watakuja potosha humu kupitia hizo hizo picha kama huyo ambae anasema anaitwa nani nani sijui donNimekwambia siyo yeye unalazimisha vipi, huyu Mimi namjuwa personal ndio maana sijaandika jina lake Nina makusudi ya kutokuandika jina lake
Kabla hujawa tajiri bro wako kishakutoa kafara kitamboIngelikuwa utajiri unapatikana ivo ingekuwa Africa sote matajiri 😂😂😂
labda hayo tajwa yapo garageSijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc
Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara
Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
Kwani kuweka screenshot shingap? Weka nikuprove wrong.Mkuu mi nmemuona physical au alikuwa copy ake
Doctor Shafiiii ze Don 😂😂😂Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Eeh hiyo iko kwa diboma kwa mganga bakari..ila muhusika anagongwa na beberuKuna kafara moja ya aibu ni kubunyuliwa nyuma, vijana wako tayari kubunyuliwa nyuma ili tu wapate utajiri. Wanadanganywa masharti ni nafuu hakuna kutoa kafara, ukitajirika utatoa shukrani ndogo tu.
Sawa mkuuUta late sasa
Yeah huyo jamàa kwenye picha ni noma jichanganye umuige ukione cha Mzee Mtemakunihawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu
Upo tayari kumwagwa damu ?Leteni contacts hiźo vijana maisha magum sana mtaani huku wajameni