Hii kuna mpuuzi mmoja nimeona anajifanya pale Makumbusho kafungua ofisi uchwara anawapiga 50k wanafunzi waliomaliza vyuo eti anawatafutia kazi, stupidTatizo vijana tukiambiwa shortcurt tunajua ni madawa. Ndagu,,cult societies tu...ziko shortcut nyingi ...moja wapo ni kutafuta wapumbavu 2000 tu wakuchangie 50000...hapo lazima wakupe mbawa za kupaa
Malizia waoga KUCHINJWA na KUMWAGWA DAMU sio unasema waoga tu hujaelewa alichoandika mtoa mada, Shetani anakupa Ila anakulia mingle kuna siku utasahau km GINIMBI utajikuta upo nje ya Gari na Gari imewaka Moto ukiwa umegongana na Bajaj tuUtajiri haupo kwa ajili ya watu waoga
HizoKwani kuweka screenshot shingap? Weka nikuprove wrong.
Kwa ugum wa maisha haya kuna kingine kipi cha kusubiri?Upo tayari kumwagwa damu ?
404: Page Not Found
Kwa hio wewe upo tayari kumwagwa damu kisa upewe utajiri wa haraka haraka tu ambao hautokunufaisha na chochote maana mda wowote watakuchinja tu ?Kwa ugum wa maisha haya kuna kingine kipi cha kusubiri?
Umeiandika kihandisi sana.....nikweli...bora uwe baridi au moto🔨Kwenye maisha hakuna neutral shem 😊
kwenye maisha kuna aina mbili za nguvu zitendazo kazi ambazo zina fanya kazi.. nguvu ya giza au nguvu ya nuru.. na ukilazimisha uwe neutral unakuwa mboga ya nguzu za giza 😅😅
Kwa kifupi yupo tayari kumtowa kafara mama yake mzazi, Watoto na mke wake, hapo nafsi yake ndio itakuwa na amani.Kwa hio wewe upo tayari kumwagwa damu kisa upewe utajiri wa haraka haraka tu ambao hautokunufaisha na chochote maana mda wowote watakuchinja tu ?
404: Page Not Found
Labda Mganga wa mapenzi huyo.Kuchukua mashart ya kafala, nikujitakia wenyewe na ukurupukaji...
Siyo kila mganga anatoa mashart ya kafala....
Basi kaka kausha hiyo ndio mifumo ya kukusanya pesa bila kuumia..na trust me hao watu wanahela kuliko unavodhaniHii kuna mpuuzi mmoja nimeona anajifanya pale Makumbusho kafungua ofisi uchwara anawapiga 50k wanafunzi waliomaliza vyuo eti anawatafutia kazi, stupid
404: Page Not Found
Duuh,kumbe mganga.mganga mmoja wa kienyeji huko insta na tik tok anawapa watu hela za uchawi wazi wazi....
Matapeli tuBasi kaka kausha hiyo ndio mifumo ya kukusanya pesa bila kuumia..na trust me hao wati wanahela kuliko unavodhani
Jirengeshe uchinjwe unaenda kichwa kichwa utachinjwa km gegeduDuuh,kumbe mganga.
Mimi situmiagi hizi Instagram, ni yeye lakini hilo siyo jina lake halisi nadhani ni jina la kazi.Hizo
Sasa huyo ana matatizo ya akili maana watazunguka kote Ila Mwisho na yeye pia lazima ahusike kwenye KUCHINJWA sababu jamaa mwishoni watamwambia tumeonja damu zote ila sasa ni wakati wa kuonja damu yako haya geukia kibraKwa kifupi yupo tayari kumtowa kafara mama yake mzazi, Watoto na mke wake, hapo nafsi yake ndio itakuwa na amani.
😅😅😅 naisikiliza hivi video yake... Joka linatema pesa kama bank, lazima uangushe ng'ombe wawili maksai kila mwisho wa mwezi, ulale chini kwenye chumba ambamo hilo joka limoo.. siku ng'ombe maksai waishe ndio mtu atajua hajuiUmeiandika kihandisi sana.....nikweli...bora uwe baridi au moto🔨
Usingeweka sura yake za kudownload kwenye page yake ya instaNimekwambia siyo yeye unalazimisha vipi, huyu Mimi namjuwa personal ndio maana sijaandika jina lake Nina makusudi ya kutokuandika jina lake
Jamaa anachambua makala zake vizuri sana, nipo hapa namsikiliza.Mimi situmiagi hizi Instagram, ni yeye lakini hilo siyo jina lake halisi nadhani ni jina la kazi.
Bado siwezi kuandika jina lake halisi, cha msingi ujumbe umefika mwenye masikio na sikie.
Siku zote mlengwa Huwa ni wewe hata wakimaliza ukoo wako wote shetani Hana hurumaa,Hana fadhila Hana shukrani yeye ni mfanyabiasharaSasa huyo ana matatizo ya akili maana watazunguka kote Ila Mwisho na yeye pia lazima ahusike kwenye KUCHINJWA sababu jamaa mwishoni watamwambia tumeonja damu zote ila sasa ni wakati wa kuonja damu yako haya geukia kibra
404: Page Not Found
Tupe faida ambao hatuna app tupate uhondo wa Instagram.Jamaa anachambua makala zake vizuri sana, nipo hapa namsikiliza.