Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Tatizo vijana tukiambiwa shortcurt tunajua ni madawa. Ndagu,,cult societies tu...ziko shortcut nyingi ...moja wapo ni kutafuta wapumbavu 2000 tu wakuchangie 50000...hapo lazima wakupe mbawa za kupaa
Hii kuna mpuuzi mmoja nimeona anajifanya pale Makumbusho kafungua ofisi uchwara anawapiga 50k wanafunzi waliomaliza vyuo eti anawatafutia kazi, stupid

404: Page Not Found
 
Attachments

  • Screenshot_20230705-122657_Instagram.jpg
    Screenshot_20230705-122657_Instagram.jpg
    72.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20230705-122647_Instagram.jpg
    Screenshot_20230705-122647_Instagram.jpg
    94.2 KB · Views: 22
Kwenye maisha hakuna neutral shem 😊
kwenye maisha kuna aina mbili za nguvu zitendazo kazi ambazo zina fanya kazi.. nguvu ya giza au nguvu ya nuru.. na ukilazimisha uwe neutral unakuwa mboga ya nguzu za giza 😅😅
Umeiandika kihandisi sana.....nikweli...bora uwe baridi au moto🔨
 
Kwa kifupi yupo tayari kumtowa kafara mama yake mzazi, Watoto na mke wake, hapo nafsi yake ndio itakuwa na amani.
Sasa huyo ana matatizo ya akili maana watazunguka kote Ila Mwisho na yeye pia lazima ahusike kwenye KUCHINJWA sababu jamaa mwishoni watamwambia tumeonja damu zote ila sasa ni wakati wa kuonja damu yako haya geukia kibra

404: Page Not Found
 
Umeiandika kihandisi sana.....nikweli...bora uwe baridi au moto🔨
😅😅😅 naisikiliza hivi video yake... Joka linatema pesa kama bank, lazima uangushe ng'ombe wawili maksai kila mwisho wa mwezi, ulale chini kwenye chumba ambamo hilo joka limoo.. siku ng'ombe maksai waishe ndio mtu atajua hajui
 
Sasa huyo ana matatizo ya akili maana watazunguka kote Ila Mwisho na yeye pia lazima ahusike kwenye KUCHINJWA sababu jamaa mwishoni watamwambia tumeonja damu zote ila sasa ni wakati wa kuonja damu yako haya geukia kibra

404: Page Not Found
Siku zote mlengwa Huwa ni wewe hata wakimaliza ukoo wako wote shetani Hana hurumaa,Hana fadhila Hana shukrani yeye ni mfanyabiashara
 
Back
Top Bottom