Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Shetani alimchukua yesu na kumpeleka mlimani na kumuonyesha mali za dunia na kumuambia, ukinisujudia mimi hizi mali zote za dunia na ufalme nitakupa.
NB: Kumiliki mali nyingi, ndani yake huwa kuna mambo ya giza.​
Sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu huu hata ukipata utajiri nje ya giza still hukwepi mifumo yao
 
Haibadili kua mada ya kidada na ya kijinga hii,hawa ndio mtu akifanikiwa hua wanasema sijui freemason,mara sijui makafara,mara wasema kuna Joka kubwa ndio linampa hela,ujinga ujinga mwingi tu.
Hujaujua bado ulimwengu usio onekana unavofanya kazi.Bado sana
Hata ukiambiwa kuna sehemu unaweza enda au ukajiunga na hizi OCCULT societies zinatoa paund, euro, dollar zinavutwa tu kirahis tena pure sio maziangaombwe..Huu ulimwengu uone hivi hivi tena ni bora hata usiujue kama ambavyo huujui
 
Hahahaha kuna yule wa sijui zambia sijui zimbabwe alikua anaitwa GINIMBI alishafariki kimiujiza ujiza japo kwa mtu asiye na macho ya rohoni ataona ile ni ajali ya kawaida.ile ni pure occult.
Wewe umejuaje kua ile ajali haikua ya kawaida? umefanyaje mpaka ukawa na hayo macho ya rohoni na kuyatumia kuona? na mwingine akitaka kua na hayo macho ya rohoni anayapataje?

Huyo Ginimbi angekua masikini ungeamini kua ajali iliyomuua ni ajali ya kawaida?

Tajiri akifa au mtoto wake akifa,utasikia kamtoa kafara ila Masikini akifa au mwanae akifa utasikia Mungu kampenda zaidi!
 
Hujaujua bado ulimwengu usio onekanaunavofanya kazi.Bado sana
Hata ukiambiwa kuna sehemu unaweza enda au ukajiunga na hizi OCCULT societies zinatoa paund, euro, dollar zinavutwa tu kirahis tena pure sio maziangaombwe..Huu ulimwengu uone hivi hivi tena ni bora hata usiujue kama ambavyo huujui
Ulimwengu usio onekana ila wewe unauona!

😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom