bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu huu hata ukipata utajiri nje ya giza still hukwepi mifumo yaoShetani alimchukua yesu na kumpeleka mlimani na kumuonyesha mali za dunia na kumuambia, ukinisujudia mimi hizi mali zote za dunia na ufalme nitakupa.
NB: Kumiliki mali nyingi, ndani yake huwa kuna mambo ya giza.